Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakumbuka Maneno yao na kiingereza cha kikamba,
Mara it will treat you abnormally,
Mara it will end in tears
Mara curfews
Mara close the boarder with Tz
Mara takwimu
Mara pesa ya corona imepigwa
Mara watu wamekunywa chai ya 8M ksh
In the end tupo hapa wote
Mlijifanya vichwa ngumu, sahii ndio Mama anaomba IMF impatie covid fund awanunulie equipment za hospitali.
 
wa danganyika ombaomba wanafungwa tu kenya wakijaribu kupotelea umaskini.
Screenshot_20211113-224228.jpg
 
habari ndo hio. wachuuzi wa UG, na OmbaOmba wa Tz wako wengi sana kenya. hakuna siku utaskia mkenya wowote amevuka mipaka za nchi za jirani kufanya biashara kama hino. kenya ni uzunguni. ksh ni dollar uko nje
100% walai. Kenya tuzidi kupaa. Cheap labour tutapata kutoka Tz, Uganda, Rwanda etc...
 
kenya na tutazidi kuteka hazi anga za juu zaidi. uchumi wetu sahizi baada ya corona inakua kwa asilmia 7%, na Tz 2.1%. (2021). hio sio sisi , waulize experts WB na IMF. google it please..
wacha kuamsha wadanganyika ambao wamelala. Hawapendi kuskia uchumi wa kenya unakua mara tatu kuliko uchumi wa Tanzania.
 
100% walai. Kenya tuzidi kupaa. Cheap labour tutapata kutoka Tz, Uganda, Rwanda etc...
Labda mtapata cheap labour ya kuwa-do wanawake wenu tu coz nyie ni dhaifu hamna nguvu za kushulika sawa sawa hamna lishe mpo goi goi.
 
Watu wengi wa mtaani kwangu na kazini wanawish Kassimu atafaa zaidi 2025
Tatizo ni kwamba itifaki za chama chao huwa zinazingatiwa sana hata kama ni za kijinga. Eti the incumbent president must run for the second term! Hata kama anafanya mambo ya hovyo watang'ang'ania aendelee tu. I wish tungekuwa na opposition lakini ndio hivyo tena hatuna mpinzani anayeaminika kwa sasa.
 
Labda mtapata cheap labour ya kuwa-do wanawake wenu tu coz nyie ni dhaifu hamna nguvu za kushulika sawa sawa hamna lishe mpo goi goi.
iweje hasa. wanaume wakikenya tunajituma sana kila leo yani, hadi tumeunda uchumi wetu hadi $106B, nyinyi $65B only!. kenya hatuna rotuba tosha (kenya 25% arible land, TZ more than 90%!, na usisahau land mass ya tz ni kubwa ata zaidi). pia madini hatuna, kisha tena mtashangaa sana kuwa saahivi tunakua by 7%, ninyi 2.1%!.. yatafakari hayo🤔
Screenshot_2021-10-16-10-38-19-89.jpg
 
iweja hasa. wanaume wakikenya tunajituma sana kila leo yani, hadi tumeunda uchumi wetu hadi $106B, nyinyi $65B only!. kenya hatuna rotuba tosha (kenya 25% arible land, TZ more than 90%, na usisahau land mass ya tz ni kubwa zaidi). pia madini hatuna, kisha tena mtashangaa sana kuwa saahivi tunakua by 7%, ninyi 2.1%.. yatafakari hayo View attachment 2009587

Hizo story za madini huwa naziskia sana muongoni mwa Wa Africa toka ile nchi dhalimu ya Kenya
Nigeria wana mafuta, ghana, Angola etc how did the make any difference,?
Imagine if Kenya had tzs economy,they could’ve inflated their gdp to 300b
 
Hizo story za madini huwa naziskia sana muongoni mwa Wa Africa toka ile nchi dhalimu ya Kenya
Nigeria wana mafuta, ghana, Angola etc how did the make any difference,?
Imagine if Kenya had tzs economy,they could’ve inflated their gdp to 300b
aky walai.. sio sisi👐🏼. ask the experts, WorldBank and IMF please........... takwimu zote zo utoka kule, they are the true regulators, wao hapana taka uwongo, they are the refference point. yani wao ndio watahini
 
Watu wengi wa mtaani kwangu na kazini wanawish Kassimu atafaa zaidi 2025
Majaliwa yuko vizuri sana, angetutoa, ila ndo hivyo, hana meno, amezungukwa na wapigaji hata hajui ajiweke vipi. Siunakumbuka mama alipobadilisha baraza la mawaziri pale mwanzoni mwanzoni alionekana kuwa na wasi wasi mpaka alipowataja wote na ndipo yeye akaanza kutabasamu.
 
Back
Top Bottom