Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JamiiForums595778731.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu njia ndio tunawapiga kinoma, barabara yenu nzuri ni moja tu thika highway, na mkikamilisha hiyo express way.. nikuulize tu kuna barabara za hizi 👇View attachment 2007094View attachment 2007095View attachment 2007096View attachment 2007097View attachment 2007102hii ni moja ya infrastructure ambazo zipo DSM tu, huwez kukutana nazo mji wowote ule uko kwenu.. kitu usichokijua ni kwamba hakuna njia kubwa DSM ambayo sio dual carriage way. Njia kubwa zote ndani ya DSM ni dual carriage ways kwahyo hapo tunaenda sawa and still sisi tunazo njia zenye BRT Lanes while huko kwenu hakuna and mind you by 2025 tutakua mbele yenu zaidi kwasababu njoo karibu zote za DSM zitakua na BRT lanes, as u all know BRT phase 2 is underway .. umeme tunawapiga hamtuwezi, maji tunawapiga, kitu mnawezana na DSM ni apartments pekee hapa ndio kidogo mnaweza kututoa jasho..
Barabara Bado kidogo nilikuambia nyinyi ni sejemu ya brt tu mumeshinda but overall around the city bado
 
Barabara Bado kidogo nilikuambia nyinyi ni sejemu ya brt tu mumeshinda but overall around the city bado
Nakwambiaje mnachotuzidi nyinyi ni kupiga picha na kuitangaza NAIROBI basi, ila ground tunawachapa hakuna kitu mmetuzid mzee mlikua mmefanya wonders kwenye thika highway basi lakini saivi na sisi tuko na Kimara kibaha high way so we the same.. labda mkamilishe Nairobi express way.. barabara zote kubwa DSM ni dual carriage way, mana hicho ndio kitu pekee mnajivunia uko NAIROBI
 
Bara bara hata tusibishane I can show you roads ambazo hujawahi hata sikia most of them are not documented starting from all the ring roads tuingie industrial area and sisi bara bara so lazima kubwa most ni dual very rare update one way Ukitaka proof nakupa
 
Back
Top Bottom