Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio sababu UN imesema Tanzania inaongoza Subsahara Africa katika uchumi shirikishi, "Economic inclusivity", samahani japo inauma Sana lakini sio Mimi niliyesema ila ni UN.

Tanzania is a unique country in Africa, surrounded by neighbours affected by tribalism, corruption, terrorism, hunger, crime, political violence, but it remains unaffected.
UN waligusia pia kuwa Kenya inaongoza Africa kwenye ukuaji wa slums.
 
Wivu na uchungu kuona Tanzania pengo Kati ya masikini na tajiri ni dogo Sana, kwao wanaminywa mapupu na wanasiasa na wazungu,
Of course pengo ni dogo sana as you can see below 😂 😂
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Macadamia nuts 100grams bila packaging inauzwa ksh 860.
Nchi yenye vyakula tele lakini ukiwaambia walete bei wanatoroka. Kwa ground vitu ni different. 😂😂😂😂

IMG_20211109_094956.jpg


Screenshot_20211109-095502~01.png
 
Less than 0.1% of the population (8,300 people) own more wealth than the bottom 99.9% (more than 44 million people). The richest 10% of people in Kenya earned on average 23 times more than the poorest 10%. 80%The number of super-rich in Kenya is one of the fastest growing in the world
Again, unsubstantiated talk. Empty rhetoric from a bongolala as usual. Keep going man, it will help Tanganyika overtake Kenya
 
Macadamia nuts 100grams bila packaging inauzwa ksh 860.
Nchi yenye vyakula tele lakini ukiwaambia walete bei wanatoroka. Kwa ground vitu ni different. 😂😂😂😂

View attachment 2003887

View attachment 2003888
Wakenya siku hizi wanakula sukari🤣🤣🤣
Mama Ngina amewatia ujinga. Katika dunia ya Science and Technology unajisifia sukari!!!
You are primitive kijana. Nenda shule.

Tunaongelea Exclusive Economy wewe unapigia kelele sukar!!
 
Back
Top Bottom