Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapumbavu sana awa kenge barabara ya njia 8 imekwama hakuna kinacho endelea HABARI YA CHINI YA KAPETI ZINASEMA SERIKALI IMEPATANA KWA SIRI NA MAKAMPUNI YA SIMU KUONGEZA GHARAMA ZA INTERNET ILI KUPATA FEDHA BAADA YA TOZO KUSHINDWA KUTOKANA NA WATU KUBADILI NJIA YA KUTUMA NA KUWEKA PESA ,,,,HIVYO KIKAO KIKAFANYIKA KUTAFUTA POINT AMBAYO WATZ AWAWEZI KUKWEPA KUITUMIA KWA URAHISI NDIPO WAKAPANDISHA MABANDO YA SIMU .
Huyu mama sijui walimtoa wap yani
 
kitu pekee alichofanikiwa ni kupandisha gharama za maisha kuwa juu zaidi
tuliona pure vision ndani ya week tu . kuzuia sherehe za kitaifa na pesa kwenda kujengea barabara.raisi kuingia majalalani yeye mwenyewe kuzoa uchafu.kufuatilia miradi bampa to bampa huyu mama alikuta mambo mengi yamenyoka tulitegemea yeye aweze kwenda kwa kasi zaidi kinyume chake ujambazi umeongezeka mara10 ajali za barabarani zimeongezeka mara 3 namengine mengi
 
SOUTH B
Image
Image

Image
Did you know Eastlands ni kubwa, pana and more dense kuliko Nairobi CBD na pia Dar CBD yote!...,
Maeneo tofauti ya Eastlando...where 60% of Nairobi lives.,
1636374050605.png

1636373782720.png

1636373937802.png

1636373962937.png

1636374011428.png

1636374139083.png

1636374107943.png
 
Hawataki kuskia ukweli lakini hizi hapa bei za unga wa ngano.
TZ Azam wheat flour 2kg= Ksh 191
Kenya EXE wheat flour 2kg = Ksh 142
Kenya GDP per Capita PPP = 4926 International dollars
Tanzania GDP per Capita PPP = 2821 international dollars.
Nowonder retail industry yenu ni ndogo sana.

View attachment 2002173

View attachment 2002255
Yaani unchukua data Jumia iliyofukuzwa TZ?
 
Dah hivi Uganda inaipita vipi Bongo Kwa kulima Kahawa? Hii sio poa kabisa.

Hili zao wakulima walianza kulichukulia poa baada ya bei kuanza kuvurugika na gharama zake kulima na kuzitunza hadi kuvuna ni kubwa.
 
so tuseme 60 to 70% idadi hii ni nguruwe sio binaadamu 😂😂😂😂😂
View attachment 2003127
Tunaangalia uhakika wa mambo sio information uchwara.., kama kusema eti 2.5 million people wanaishi Kibera slums hiyo itakua 50% ya population ya nairobi yote in Kibera, which is in southern part of Nairobi(Southlands) 😂 😂 😂 , such organizations don't do ground work they pick data from internet to augment their report, even unverified data wanatumia tu 😂 .., 😂 😂 😂 😂 😂 .., mimi nakupea facts sio porojo.., mambo kwa ground..., ukweli utabaki, Eastlands is far bigger than Dar CBD yooote! huu ukweli najua utakuuma sana, haupendi kuuskia! 😂 😂 😂 😂 😂
 
Tupatie data ya 2021 tuone.
Huyo anaumia, aamini Eastlands is far bigger than Dar-Kabul-Salaam CBD 😂 😂 😂 ., I know how to critic and challenge reports with concrete data.., some report I read eti over 70% of Dar residents are living in informal settlements of that 75% is unemployed, na kuna yenye ilikua inasema eti 90% ya Dar residents live on less than a dollar., hiyo I didn't buy, I once posted here some time back..,ichoboy01 haja yake nikujaribu kuikweza Tz ama kudhalilisha kenya ili Tz ionekane nafuu lakini wapi..,ukweli inamtesaga sana, mwarabu hapendi ukweli 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom