Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

but just know kisumu, by any standards is the leading city in EA interms of neatness and organization even ahead of chigali

Neatness
What parameter is this
IMG_5835.jpg
 
Nipe sababu ya kushindwa kwa kila aina ya vita kwa kutegemea aina ya vita?
Kwa mfano kama ni Vita ya wenyewe kwa wenyewe, askari wanabadili sides daily ili kusurvive. Kwa hiyo Jeshi lenyewe linakuwa haieleweki.
Hii inshu imetokea sana kwenye nchi zenye Uasi. Na mara nyingi aina hii ya vita huwa inazimwa baada ya third parties kuingilia.

Lakini kama ni vita baina ya nchi mbili tofauti, mbivu na mbichi zinajulikana wazi wazi kiasi kwamba hata ushindi kupatikana ni rahisi.
 
Define facts? and in my conversation that ume quote, what is there that u doubt and will need it to be proven beyond any reasonable doubt?.., ama unaropokwa tu, bro, have a good night, take a rest for today kesho ni siku.
Hivi yule mkunya mwenzenu aliyesena kamtuma slum junior wake kuja dar ili apige picha za dar is slum kaishia wapi mbona kimywa Tony254 komora096 Don YF dyfre MK254
 
Tuna masoko mengi na ya kisasa tatizo wanyonge hawataki kuzoea kufanya biashara zao sokoni, wanataka wafanyie barabarani yanapopita magari, upuuzi huu unatakiwa ufutwe kilazima, hatuwezi kuendelea na utaratibu wa kijinga na wa stone age km huu, likijengwa hilo soko kutakuwa na masoko makubwa ma4 hapo kariakoo na maeneo jirani, kutakuwa na Soko la zamani la kkoo, soko jipya, Kisutu market na Machinga complex, lkn bado wataendelea kufanya biashara barabarani.

Nashauri tutumie nguvu kuwaondoa barabarani na ikiwezekana jeshi litumike kuwaondoa, jeshi lifanye demonstration ambayo itakuwa fundisho kwa hawa watu wanaoharibu ustaarabu wa dunia ya sasa.
tutawalazimisha
 
what's going on here? someone give me some context
Eritrea ijiandae maana adui kapata nguvu ,kama kuna kikundi kinapinga serikali ya eritrea basi sasa wamepata nguvu na wataungwa mkono na serikali mpya ya ethiopia
 
Waache maneno mengi wafanye vitendo, tumechoka maneno bila vitendo, hapa nasubiri kuona mradi waliosema watafanya huu wa kariakoo ndipo nitawapima, Mana awamu hii naona imeanza kuleta maneno bila vitendo kama awamu zilizopita kabla ya awamu ya 5.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumbavu sana awa kenge barabara ya njia 8 imekwama hakuna kinacho endelea HABARI YA CHINI YA KAPETI ZINASEMA SERIKALI IMEPATANA KWA SIRI NA MAKAMPUNI YA SIMU KUONGEZA GHARAMA ZA INTERNET ILI KUPATA FEDHA BAADA YA TOZO KUSHINDWA KUTOKANA NA WATU KUBADILI NJIA YA KUTUMA NA KUWEKA PESA ,,,,HIVYO KIKAO KIKAFANYIKA KUTAFUTA POINT AMBAYO WATZ AWAWEZI KUKWEPA KUITUMIA KWA URAHISI NDIPO WAKAPANDISHA MABANDO YA SIMU .
 
Alafu sasa, unaona?, only in Dar,.., outer ring Nairobi imeifunika tayari, mimi nilisema Tz ni nchi ya city moja tu mnakasirika, na interchange hazipiti tatu kwingine ni mashambani ndio maana wengi mmekimbilia Dar-kabul-salaam, kwa sasa nina hisi mtakua watu 7million plus in that fishing village, hamna kwingine pa kuenda ku hustle..,
Maumiv peleka ushago...apo kunya huwez pata vitu standard hii...katuu
 
Kumbe taa na umeme tayari ,miradi ya jpm ndiyo inayo tusaidia kwenye huu uzi bado atujaona chochote cha huyu MJAMBIANI NI POROJO TU KAMA MCHAWI
Kwahyo jpm miezi 6 alikua ameshajenga kila kitu?akili za kimatope kama hizi sijui mnazitoa wap
 
Kisumu ni mji mkubwa sana most pictures huonyesha cbd pekee side ya lake kisumu imedevelop away from the lake just a picture here na hapo cbd hakuna and many other parts

View attachment 2000268
😂😂😂, Huu ☝️ uchafu ndio ushindane na Arusha.?
Kuja ground utashangaa hiyo mwanza yenu haifikii kisumu infrastructure wise. Alafu hapo kwa tall buildings i guess ni juu ya geographical region hata arusha naona ina maghora ndefu kuliko mwanza as eldoret beats kisumu in tall buildings common sense pals
Usiitaje Mwanza kabisa, KISUMU haziwezani hata na Arusha, kuna nini cha ziada hapo Kisumu cha kushindana na Arusha.? Nashangaa mara unataja Eldoret 😂😂 kijiji cha gorofa moja,unaakili kweli wewe.?
 
Back
Top Bottom