Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanasiasa bana, pale alialikwa kuhudhuria uzinduzi wa familia mpya au kuongelea siasa? Mimi nilitegemea baada ya kupewa nafasi ya kuongea, angetumia nafasi ile kuwashauri hawa wanandoa wapya, kwamba wafuate maadili mema kama walivyofundishwa na kiongozi wao wa dini kwa kutumia vitabu vitakatifu. Wapendane kama wanavyopendana sasa, wawe waaminifu kwa Mungu wao na pia kwa mmoja na mwenzake. Wavumiliane kama wenyewe wanavyovumiliana katika ndoa yao kongwe.
Tabia za namna hii zipo sana Kenya makanisa yanageuzwa majukwaa ya siasa.
 
ichoboy01
Hahaha yani hata ikiwa up by 23% bado ni twice cheap kuliko bongo. 😀

sug.JPG
 
Nikiangalia hizi issue za formal economy huwa natokwa na machozi
View attachment 2002912
nimecheks sana ,huyo mzee wa formal economy ukimuuliza kwenye wiki huwa anaenda mara ngapi kununua bidhaa kwenye mall inawezekana akakosa jibu au akaongopa,

maana kuna tofauti kubwa sana kati ya mzururaji kwenye mall na mnunuzi bidhaa kwenye mall
 
Back
Top Bottom