Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu sasa, unaona?, only in Dar,.., outer ring Nairobi imeifunika tayari, mimi nilisema Tz ni nchi ya city moja tu mnakasirika, na interchange hazipiti tatu kwingine ni mashambani ndio maana wengi mmekimbilia Dar-kabul-salaam, kwa sasa nina hisi mtakua watu 7million plus in that fishing village, hamna kwingine pa kuenda ku hustle..,
Unatia huruma sanaaa ...ni aibuuu tupu...kujitia ujinga watu wanaishi kila sehem ya Tz sababu tuko na nehema...nchi nzimaaa (kujengew vitu cheap mnaita flyover matofali ambazo hazina hadhi huwez kuta tunazisifia)
Apo ni Dissim plus Chuga bado Mwanza Zanzibar , Moshi, Dodom,Iringa miji ni mingi yenye hadhi just to mension a few
Screenshot_20211105-112409.jpg
JamiiForums1958377938.jpg
JamiiForums-25867315.jpg
 
Hapa ni hasira inaongea hakuna reason ama sense, sio makosa yangu ukweli utabaki pale pale wewe itabidi imezoea ama utapata ulcers bure, vumilia, tafuna limau kama mwanaume
Akuna limao baya uku tunalia ndiz za kuchomwa na nyama...pole sanaaa Chuga itakuua
 
Kwahyo jpm miezi 6 alikua ameshajenga kila kitu?akili za kimatope kama hizi sijui mnazitoa wap
tuliona pure vision ndani ya week tu . kuzuia sherehe za kitaifa na pesa kwenda kujengea barabara.raisi kuingia majalalani yeye mwenyewe kuzoa uchafu.kufuatilia miradi bampa to bampa huyu mama alikuta mambo mengi yamenyoka tulitegemea yeye aweze kwenda kwa kasi zaidi kinyume chake ujambazi umeongezeka mara10 ajali za barabarani zimeongezeka mara 3 namengine mengi
 
Mataga ubongolalas bado wanaamini magufuli anaendelea kujenga miundombinu Danganyika akiwa kuzimu. Hawataki kumkubali mama atafanya kazi hadi 2035
 
Kenya ranks ahead of Tanzania in terms of Affordability and Quality & Safety of Food.
We only need to fix our mess by irrigation of arid and semi arid areas to improve on availability na tutaingia top 3 kwa hii list.

Screenshot_20211106-103919.png
 
Back
Top Bottom