Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu, kuna vinchi hata chakula havina na vitimu vyao kama "Girl Maria" hata dola $2 000 kwa mwezi mbinde kulipa. Na hizo ndio club kubwa kwao.

Hakuna battle hapa! Ni dhambi kubishana na maskini wasio hata na uwezo wa kula kwa siku.

Tumewaacha mbali sn, alafu km mme notice kitu ni kwamba mpira wa Tz umenza kivutia watu mbalimbali barani Afrika na Ulaya, I will not be excited to see one of our teams sign a player from one of the best Europe leagues.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawataki kuskia ukweli lakini hizi hapa bei za unga wa ngano.
TZ Azam wheat flour 2kg= Ksh 191
Kenya EXE wheat flour 2kg = Ksh 142
Kenya GDP per Capita PPP = 4926 International dollars
Tanzania GDP per Capita PPP = 2821 international dollars.
Nowonder retail industry yenu ni ndogo sana.

Screenshot_20211107-171024~01.png

Screenshot_20211107-170819~01.png
 
Hawataki kuskia ukweli lakini hizi hapa bei za unga wa ngano.
TZ Azam wheat flour 2kg= Ksh 191
Kenya EXE wheat flour 2kg = Ksh 142
Kenya GDP per Capita PPP = 4926 International dollars
Tanzania GDP per Capita PPP = 2821 international dollars.
Nowonder retail industry yenu ni ndogo sana.

View attachment 2002173

View attachment 2002255
Kwahiyo basi tukubaliane kuanzia leo maisha Kenya ni mepesi kuliko Tz kwamba mkunya wa kawaida atapata tabu huku Tz na mTz wa kawaida ataishi kiuwepesi Kenya sawa?

alafu iyo package ya azam
 
Tumewaacha mbali sn, alafu km mme notice kitu ni kwamba mpira wa Tz umenza kivutia watu mbalimbali barani Afrika na Ulaya, I will not be excited to see one of our teams sign a player from one of the best Europe leagues.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna bar moja huwa napenda kwenda kupata kinywaji huku nikiangalia mpira huwezi amini zikicheza timu za bongo huwa panajaa hadi hakuna pa kuweka mguu full mibanano mixer watoto wazuri ila kukiwa na mechi za EPL wala hapajai sana magepu ya kutosha.
 
Mkuu sio bar moja ni bar zote mkuu ikicheza timu za bongo na EPL at the same time zinawekwa mechi za bongo hususan Simba au Yanga, mm mwenyewe cku hz mechi za Yanga nazipenda na kuzisubiri kuliko mechi za Man Utd.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo basi tukubaliane kuanzia leo maisha Kenya ni mepesi kuliko Tz kwamba mkunya wa kawaida atapata tabu huku Tz na mTz wa kawaida ataishi kiuwepesi Kenya sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapenda kujifariji na bei zisizo na uhalisia za mitandaoni.

Hivi ni Mtanzania gani atapoteza muda wake kuagiza unga online wakati dukani kwa "mangi" wanauza hizo bidhaa kwa bei rahisi!
 
Mkuu sio bar moja ni bar zote mkuu ikicheza timu za bongo na EPL at the same time zinawekwa mechi za bongo hususan Simba au Yanga, mm mwenyewe cku mechi za Yanga nazipenda na kuzisubiri kuliko mechi za Man Utd.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niliacha kushabikia timu za EPL.
Yaani hapa watu wanakata maji wala hawajaelekeza macho kwenye runinga kiivyo.

Ila ingekuwa ni mechi za bongo ingekuwa ni balaa muda huu.
 
Back
Top Bottom