Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂 😂 😂 😂 😂 👆 .., yaani ka estate pekee in Kisumu iko na density kuliko Arusha na Mwanza CBD.., hii ni lolwe pekee 😂 😂 😂 😂 , tafuta size yenu bana..,
View attachment 2002969

View attachment 2002961
View attachment 2002963
View attachment 2002965

City look.., muonekano wa city...,
2981661_1633053435725.jpg

View attachment 2002968
2981660_1633052332643.jpg

2981665_1633055012719.jpg

2981939_IMG_20211023_172114.jpg

2981940_IMG_20211008_151420.jpg
Bro usifananishe Mwanza na kisumu , Mwanza kuna biashara kubwa zinafanyika hata Nairobi haifikii, Waulize wakenya wanaokuja Mwanza watakuambia .
 
Some truth though.., have never seen an apartment in Eastlands with a lift by the way! In kilimani na mtaa kadhaa southlands kama kilimani, Lavington, Ngong road areas etc, apartments kadhaa have lifts and gym kwa basement, pia Kiambu I visited some friends kuna several apartmants za adabu sana kule, za lifts with underground designated parking, but Eastlando in some sections gari zina park nje ya building kama street za city centre..,
Nmefurahi umeongea kiungwana...
 
Vizuri vingi sana kwetu. Sema tu nyie watoto wa mama Ngina, Kenyatta Elite imekula akili zenyu.
Hapa ni battle ground bro.., debate moto moto., badilisheni uzi tujadili bila ushabiki, mimi nafuata sheria ya uzi "battle".., hakuna huruma 😂 😂
 
Bro usifananishe Mwanza na kisumu , Mwanza kuna biashara kubwa zinafanyika hata Nairobi haifikii, Waulize wakenya wanaokuja Mwanza watakuambia .
I have met many Tanzanians from Mwanza while in Kisumu, ni wengi, sana sana at Kisumu port, especially the crew who come with ship to pick goods in their ships and transport to Mwanza and port bell., wanakaa ata wiki moja wakingoja mizigo kutoka Mombasa na kwingineko.., they can tell the difference.., wanazunguka, mwingine alifika hadi Eldoret akashangaa.., picture don't give the clear scenario..,
 
Kahawa nyingi ya Tz inakwenda Uganda, wafanyabishara wanafuata bei nzuri kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
watanzania mnakuwanga wapumbavu sana nyie! yaani kila siku ni masingizio ya ki-jinga, oohh waKenya mnatoa parachichi tanzania; ooh Uganda wanatoa kahawa tanzania! mbona nyinyi msi-export mazao yenyu wenyewe?? Inamaana hamna akili kazi yenyu ni kuliwa tu na umbea.
 
Uongo!?
Tell me; county ipi hapo kwa mama Ngina wanalima Avocados!?
 
Hivi vijumba vimekaa kiuchafu sn, haivutii kabisa ni kinyaa kuangalia kama nzi, zimebanana sn km slums.View attachment 2003279View attachment 2003280

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivuu!! 😂 😂 😂 density kaka.., kubali yaishe mbona kuruka ruka., ama unataka kunimalizia hasira za weekend, si wajua ni nini naongelea? 😂 😂 😂 hapo ni eastlands., not quite standard but far better than your sprawling residentials, with no roads ni vichochoro tu kule kwenu., wacha niweke street level ujionee..,

Tazama mama zetu wanapeana udaku wa mtaa hapa 👇 👇 wanasema; " Mama halima wamjua yule kijana wa T-shirt ya Man U ni fisi kweli, ananyemelea house maids kwa estate..," #007 😂 😂 😂
1636384428267.png

1636384414599.png

1636384649417.png

1636384687863.png

1636384713295.png

1636384737261.png
 
watanzania mnakuwanga wapumbavu sana nyie! yaani kila siku ni masingizio ya ki-jinga, oohh waKenya mnatoa parachichi tanzania; ooh Uganda wanatoa kahawa tanzania! mbona nyinyi msi-export mazao yenyu wenyewe?? Inamaana hamna akili kazi yenyu ni kuliwa tu na umbea.
Kaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom