Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ni Dar ya miaka ya 90, nime zoom nimeliona hadi pagara letu
Kilaza Dar ya 90 ilikua na BRT kwani wewe ni kipofu 😂 😂 😂 😂
2990044_1636189170454.jpeg
 
Waache maneno mengi wafanye vitendo, tumechoka maneno bila vitendo, hapa nasubiri kuona mradi waliosema watafanya huu wa kariakoo ndipo nitawapima, Mana awamu hii naona imeanza kuleta maneno bila vitendo kama awamu zilizopita kabla ya awamu ya 5.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisoma vyema hii tweet utagundua JK kazini, eti wanatafuta mkandarasi wakufanya usanifu..alafu watatafuta mwingine wa ujenzi sio
 
Wewe ni mpumbavu kweli 😂 😂 😂 😂 😂 .., sasa can u even compare Arusha to Kisumu eti? yaani mimi ni waste time yangu na wewe coz of Tanznia nchi ya city moja.., Dar-kabul-slum! mnaipaka lipstick ndio ionekane laikini wapi, 😂 😂 😂 😂 .., kwingine tunapajua vizuri kaka, hiyo Arusha na Mwanza ni nini kipya utaleta kenye sijaona na kuchambua?, we've dealt with those two towns of yours kikamilifu you idiot, they are below par sasa uniletee vipicha kwa angle ya propaganda ili ujitekenye ndio iweje? ama unadhani mimi ni mshamba kama wa Mwanza wenzako?.., idiot, eti tuhesabu vigorofa nyambaff.., outside Dar and Kampala hakuna any other city in Tanzania na uganda period, inferiority complex inakusumbua, zoea ukweli.
Acha kupiga kelele mingi kama mbwa, twende ground, tuanze na Over ten floors buildings .. Owky utachukua Kisumu na Eldoret kwa pamoja ili tulinganishe na Arusha.. mbona unaogopa 😂😂😂 mapovu yanakutoka kwa kuogopa Arusha .. heb ona huu uchafu 👇
2989792_Screenshot_20211106-073658.jpg


kisumu.jpg


Kisumu11.jpg
 
huyu na abood wanataka kufanya nn.. sio kwa makamuzi haya.. afu wote ni wa morogoro
Uchumi jumuishi, kwa wakunya angekuwa anatokea Nairobi.

Halafu mabasi yake mengi yanapiga ruti ya Dar Moro.

Hivi mnamkumbuka yule mkunya aliyeandika humu kuwa hakuna mabasi ya Dar Moro!
 
Wewe ni mpumbavu kweli 😂 😂 😂 😂 😂 .., sasa can u even compare Arusha to Kisumu eti? yaani mimi ni waste time yangu na wewe coz of TanzAnia nchi ya city moja.., Dar-kabul-slum! mnaipaka lipstick ndio ionekane lakini wapi, 😂 😂 😂 😂 .., kwingine tunapajua vizuri kaka, hiyo Arusha na Mwanza ni nini kipya utaleta kenye sijaona na kuchambua?, we've dealt with those two towns of yours kikamilifu you idiot, they are below par sasa uniletee vipicha kwa angle ya propaganda ili ujitekenye ndio iweje? ama unadhani mimi ni mshamba kama wa Mwanza wenzako?.., idiot, eti tuhesabu vigorofa nyambaff.., outside Dar and Kampala hakuna any other city in Tanzania na uganda period, inferiority complex inakusumbua, zoea ukweli.
Kusimu inaweza kuizidi nini Arusha we matako.? Heb sema Kisumu kuna shughuli gani ya maana inaweza kuifanya iizidi Arusha kiuchumi.? Eti "naijua arusha" umewahi kufika arusha sehemu gani.. yani Kisumu iizidi Arusha 😂😂😂😂 nakunya kuanzia hapa DSM mpaka Mwanza
 
Affordability
PROVE THIS.
The average price for 1ltr of milk and 1 Kg of rice is way cheaper in Kenya then in Tanzania.

 
The average price for 1ltr of milk and 1 Kg of rice is way cheaper in Kenya then in Tanzania.

Tunataka vitu vya ground mkunya, hatutaki data zisizo akisi uhalisia.

Weka bei za bidhaa hapa.

Huku Tanzania unaweza pata hadi 1 kg of rice kwa Tsh 700 hadi 1,000 inategemea uko wapi na aina ya mchele.
 
The average price for 1ltr of milk and 1 Kg of rice is way cheaper in Kenya then in Tanzania.

Tuma picha utuoneshe bei ya mchele. Hapo Nairobi.
 
Tunataka vitu vya ground mkunya, hatutaki data zisizo akisi uhalisia.

Weka bei za bidhaa hapa.

Huku Tanzania unaweza pata hadi 1 kg of rice kwa Tsh 700 hadi 1,000 inategemea uko wapi na aina ya mchele.
Wanatuketea Bei zilizotungwa na mtu akiwa amekaa ofsini jijini London
 
The average price for 1ltr of milk and 1 Kg of rice is way cheaper in Kenya then in Tanzania.

Nimeona hii message nikabidi nikujibu...

Kenya vitu vya Tanzania ndio ghali na ndio vyenye ubora... huo Mchele nafuu wanaokula wakenya huku Tanzania wanalishia mifugo kabisa
 
Back
Top Bottom