Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Hawa wajuba bhana yanii chakula mnunue kwetu alafu kiuzwe bei rahisi kwenu kushinda bongo acheni ndoto za mchana aisee
Nimeishi Mwanza miaka mitatu bro, mchele wa grade ya juu kabisa ni 1500, mchele wa kawaida ni 1000Kwa hapa Dar mchele wa grade ya chini kabisa 1100 wa grade ya juu ni 2100 na hapo bado hujaenda mikoani bei ni kama bure hukoo
Mqwnzako kauliza poa, wekeni bei za super market manake hata hku michele ya mitaani ipo..We jamaa huna akili timamu, yani bidhaa za chakula zilimwe Tanzania alafu eti ziuzwe Bai ghali ndani ya nchi kuliko sehemu ambayo zinapelekwa (nje ya nchi)wewe ni chizi ..
Mchele wa chini kenya 50 mzee babaNimeishi Mwanza miaka mitatu bro, mchele wa grade ya juu kabisa ni 1500, mchele wa kawaida ni 1000
Wewe unauliza!? Mbona huweki bei yenu unaogopa nini!?Mqwnzako kauliza poa, wekeni bei za super market manake hata hku michele ya mitaani ipo..
Sijaona mchele wa tanzania hku mimi, emu tuambieni huaga unaenda wapi ukija hku.Hawa wajuba bhana yanii chakula mnunue kwetu alafu kiuzwe bei rahisi kwenu kushinda bongo acheni ndoto za mchana aisee
Mzee bei ya supermarket umeweka!? Mbona kelele mingi tu. Tuwekee bei yenu ya supermarket.Sijaona mchele wa tanzania hku mimi, emu tuambieni huaga unaenda wapi ukija hku.
Km ni mahindi tz kwnza sio main impoter wa mahindi kenya na yakija yanaenda direct viwandani
Quality ya maziwa ni kitu gani!?
😂😂😂 Acha kulilia yani chakula ununue kutoka bongo halafu kiwe bei rahisi kuliko kinapozalishwa .? 😂😂😂, Unafkiri hata kama tutaweka bei ya supermarket itakua kubwa kuliko kwenu since chakula kinalimwa hapahapa.?Mqwnzako kauliza poa, wekeni bei za super market manake hata hku michele ya mitaani ipo..
Nimeishi Mwanza miaka mitatu bro, mchele wa grade ya juu kabisa ni 1500, mchele wa kawaida ni 1000
Mzee unajichosha tu. Hakuna mtu asiyeijua kisumu humu JF. Labda kama kuna jambo jipya.Muonekano ambayo mnaziona tu in Dar.. Kisumu has it all, interchanges, flyovers.., alafu mpumbavu anataka kulinganisha Kisumu na towns.., 😂 😂 😂 😂
Kisumu Dala.., won't feed some people's insecurity and inferiority complex.,😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2000642
View attachment 2000644
View attachment 2000657
View attachment 2000658
View attachment 2000663
View attachment 2000659
View attachment 2000661
View attachment 2000660
Mzee unajichosha tu. Hakuna mtu asiyeijua kisumu humu JF. Labda kama kuna jambo jipya.Muonekano ambayo mnaziona tu in Dar.. Kisumu has it all, interchanges, flyovers.., alafu mpumbavu anataka kulinganisha Kisumu na towns.., 😂 😂 😂 😂
Kisumu Dala.., won't feed some people's insecurity and inferiority complex.,😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2000642
View attachment 2000644
View attachment 2000657
View attachment 2000658
View attachment 2000663
View attachment 2000659
View attachment 2000661
View attachment 2000660
|Sio moja tu.., usijitie hamnazo..,Tofauti na hii kalvat ni kitu gani kingine Kisumu unaweza kuitaja mbele ya Arusha.? 😂😂😂 Kisumu ni uchafu tu mbele ya Arusha..
hehehe.., ya Mwanza ama Arusha hiyo size iko wapi? 😂 😂 😂 😂 😂 .., Tz ya city moja.,Mzee unajichosha tu. Hakuna mtu asiyeijua kisumu humu JF. Labda kama kuna jambo jipya.
Hizo picha zimewekwa humu since 2017.
Wewe umeishi pwani tu., tembea bara.,