Tunataka vitu vya ground mkunya, hatutaki data zisizo akisi uhalisia.
Weka bei za bidhaa hapa.
Huku Tanzania unaweza pata hadi 1 kg of rice kwa Tsh 700 hadi 1,000 inategemea uko wapi na aina ya mchele.
.Unaota mchana, weka hapa bei ya Azam whole milk 1ltr tuone. Wacheni kulialia.Nimeona hii message nikabidi nikujibu...
Kenya vitu vya Tanzania ndio ghali na ndio vyenye ubora... huo Mchele nafuu wanaokula wakenya huku Tanzania wanalishia mifugo kabisa
Iko wapi? Mbona hatuoni. Enda supermarket upige picha tuone.😁😂Nimechukungulia Bei ya Mchele duka flani hapa naona kuna wa 1300 ambayo ni Usd 0.56.
Hizo Dola nne ni Mchele gani.
Sijui kama akili zinakutosha. Mchele mtoe Tanzania halafu bei yenu iwe cheap.Wekeni hapa bei ya Michele 1kg na Maziwa 1 ltr za supermarket in TZ tuone. Hata Kenya tukona cheaper prices za mitaani.
Wakenya wanakula Mchele wa mifugo huna haja ya kubishana nao... Wali ni chakula cha AnasaTuma picha utuoneshe bei ya mchele. Hapo Nairobi.
Hebu weka bei tuone hapa mbona unapiga kelele tu. Ukishindwa nakusaidia. Nina uhakika siyo muda utapotea humu na ukirudi unakuja na mada nyingine.Iko wapi? Mbona hatuoni. Enda supermarket upige picha tuone.😁😂
Wapi bei wacha kelele ya chura, prove it. Enda supermarket upige picha tuone.Sijui kama akili zinakutosha. Mchele mtoe Tanzania halafu bei yenu iwe cheap.
You are not okay upstairs.
Yaani ata Dar hupati average residential ya raiya wa kawaida kama za kisumu na unabweka bweka humu idiot 😂 😂 😂 😂 ..,Acha kupiga kelele mingi kama mbwa, twende ground, tuanze na Over ten floors buildings .. Owky utachukua Kisumu na Eldoret kwa pamoja ili tulinganishe na Arusha.. mbona unaogopa 😂😂😂 mapovu yanakutoka kwa kuogopa Arusha .. heb ona huu uchafu 👇View attachment 2000590
View attachment 2000582
View attachment 2000585
Mkoloni aliondokaga na akili za wakunya.Wanatuketea Bei zilizotungwa na mtu akiwa amekaa ofsini jijini London
Subiri mwenge uwashwe huo ndo utajua ujuiHalijaanza tumika unaweza sogea mbele zaidi kuna barrier wanapita staff tu . Lakini still kuna view nzuri haswa jioni .









Mtaani kwangu pia ni Tsh 1,300 hadi 1,200 kwa kilo.Nimechungulia Bei ya Mchele duka flani hapa naona kuna wa 1300 kwa KG, ambayo ni Usd 0.56.
Hizo Dola nne ni Mchele gani.



Nenda uka update google uziwekeAlafu mnasema Dar haina slum.., tofauti na Nyalenda iko wapi?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dar-Kabul-slum
View attachment 2000564
Nyalenda
![]()




Hiyo co Dar ya 90, ni dar ya 2010 hukoo ila wanachofanya wao ni wanaichafua yan wanaiingiza kwenye mtandao zen wanaichqfua ionekane hovyo, jamaa wanaumizwa sn na maendeleo ya TanzaniaHiyo ni Dar ya miaka ya 90, nime zoom nimeliona hadi pagara letu







We jamaa huna akili timamu, yani bidhaa za chakula zilimwe Tanzania alafu eti ziuzwe Bai ghali ndani ya nchi kuliko sehemu ambayo zinapelekwa (nje ya nchi) 😂😂😂 wewe ni chizi ..Wekeni hapa bei ya Michele 1kg na Maziwa 1 ltr za supermarket in TZ tuone. Hata Kenya tukona cheaper prices za mitaani.
Mtaani kwangu pia ni Tsh 1,300 hadi 1,200 kwa kilo.
Atuambie ni Tanzania gani hiyo mchele unauzwa 9,000 kwa kilo![]()
Tofauti na hii kalvat ni kitu gani kingine Kisumu unaweza kuitaja mbele ya Arusha.? 😂😂😂 Kisumu ni uchafu tu mbele ya Arusha..