Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi ya city moja unaniambia nini 😂 😂 😂 😂 .., weka zote humu hakuna alie kukataza wewe kilaza, mwaga tu usiogope..,

Povu ruksa 😂 😂 😂 😂 mwaga yote.., Kenya sio Tz nchi ya city moja 😂 😂 😂

Tukinyamaza sana kiburi inawaingia danganyikans wanafikiria ni wenzetu.., 😂 😂
Kwani hiyo Kisumu inawezana na Arusha.? 😂😂😂
 
Nilikuwa namaanisha traffic lights siyo street lights.

Wameweka Kenyatta / Kaunda/ Toure junction tu na kule Gymkhana.

IMG_2233.jpg



IMG_2234.jpg
 
Waaaa kumbe bado munangoja hadi 2025 😁😂😁 poleni majirani.


Unaelewa maana ya "decentralize" ?
Sisi tayari tunafanya dialysis kwenye majimbo. Nyinyi mnasubiri hadi 2025? Mpo nyuma sana.
Teyari kuna hospitali nyingi zinazofanya dialysis, mfano Mkapa, Muhimbili nk. Hiyo ya 2025 ni kwa kuongeza huduma kwa hospiutali nyingine, hasa zile mpya zilizogengwa awamu ya 5.
Dude, economic growth does not determine how developed a country is, it only indicates how fast a country is developing. Tanzania has a higher economic growth than the US, does that mean Tanzania is more developed than the US? What kind of economics do they teach in Tanzania? SMH
Ungetulia na kufuata mlomlongo wa hoja vizuri, ungeelewa kuwa nilikuwa namjibu tuusan aliyeleta hoja ya economic growth.
 
Ma flyover cheap kama haya ndiyo wanatujengea hapa Chang'ombe, wachina mbwa sn.
Nimemwambia jamaa tushindanishe ARUSHA na Kisumu kwa majengo yenye zaidi ya ghorofa kumi. Mana mchizi anadai sisi tuna city moja, nataka nimuonyeshe kwamba jiji lao la tatu ukishindanisha na jiji letu sie tunaibuka washindi
 
MES project ishaisha..maana eventually ndo ita provide 360 dialysis machine ..so washafika 360 dialysis machines??

Plus hii info ya Tz kuwa na 104 Dialysis machine ni ya 2019 march ..and News ya Kenya ni 2021..2 years can change alot..you think budget zote za miaka miwili ..hatujaongeza any Dialysis machine??
Zote 360 zilishakua setup kwa 54 Renal Units Countrywide. Kama sio mwarabu kuwapea msaada mungekua kwa hali mbaya zaidi.
 
Unaelewa maana ya "decentralize" ?

Teyari kuna hospitali nyingi zinazofanya dialysis, mfano Mkapa, Muhimbili nk. Hiyo ya 2025 ni kwa kuongeza huduma kwa hospiutali nyingine, hasa zile mpya zilizogengwa awamu ya 5.

Ungetulia na kufuata mlomlongo wa hoja vizuri, ungeelewa kuwa nilikuwa namjibu tuusan aliyeleta hoja ya economic growth.
Ndio tunawaambia, Kenya ilisha decentralize. Dialysis inafanywa hadi kwa hospitali za wilaya. Nyie bado munangoja.
 
Naona barabara za matofali Kenya ni kitu cha kawaida.🤣🤣🤣

1636125870412.png
 
Back
Top Bottom