Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pesa za salary na kulipia madeni ya wakubwa
lia pole pole susan
Screenshot_20211105-182908.jpg
 
Unaelewa maana ya "decentralize" ?

Teyari kuna hospitali nyingi zinazofanya dialysis, mfano Mkapa, Muhimbili nk. Hiyo ya 2025 ni kwa kuongeza huduma kwa hospiutali nyingine, hasa zile mpya zilizogengwa awamu ya 5.

Ungetulia na kufuata mlomlongo wa hoja vizuri, ungeelewa kuwa nilikuwa namjibu tuusan aliyeleta hoja ya economic growth.
Sasa wewe unataja hospitali kubwa kubwa. Hio ina maana kwamba hospitali zenu ndogo hazifanyi dialysis.
 
An isolated case in never a representative of the whole kilaza .., so Brazil with crime and sprawling slums or South Africa u will argue eti u are on top of them? idiotic reasoning hii, using isolated cases to conclude
Which one is isolated case?, Water scarcity even in Nairobi is a chronic problem, cholera outbreak in Nairobi is almost every year phenomena, almost 80% of your cities and towns do have water rationing.,
 
Sasa wewe unataja hospitali kubwa kubwa. Hio ina maana kwamba hospitali zenu ndogo hazifanyi dialysis.
Dialysis sio kitu kinafanya katika level ya chini, huko kwenu lazima iwe katika level ya "County na huku kwetu level ya Mkoa
 
Sasa wewe unataja hospitali kubwa kubwa. Hio ina maana kwamba hospitali zenu ndogo hazifanyi dialysis.
Nilitaka kumuomba joto la jiwe anijibie kumbe kesha kujibu. Dialysis siyo kitu kinafanywa kwenye hospitali zote, mara nyingi hufanyika kwenye rehab.
 
View attachment 1999953
The Mighty Kariakoo Market Will Take a New Shape Soon. Hivi ni vitu Majirani Wanasoma Tu Humu Kwa Wivu Mkubwa……Kwao ni Ndoto. #Dar Es Slaam Ya Masoko Ya Kisasa
Tuna masoko mengi na ya kisasa tatizo wanyonge hawataki kuzoea kufanya biashara zao sokoni, wanataka wafanyie barabarani yanapopita magari, upuuzi huu unatakiwa ufutwe kilazima, hatuwezi kuendelea na utaratibu wa kijinga na wa stone age km huu, likijengwa hilo soko kutakuwa na masoko makubwa ma4 hapo kariakoo na maeneo jirani, kutakuwa na Soko la zamani la kkoo, soko jipya, Kisutu market na Machinga complex, lkn bado wataendelea kufanya biashara barabarani.

Nashauri tutumie nguvu kuwaondoa barabarani na ikiwezekana jeshi litumike kuwaondoa, jeshi lifanye demonstration ambayo itakuwa fundisho kwa hawa watu wanaoharibu ustaarabu wa dunia ya sasa.
 
Hii hata price lazima ichangamke...pillars za kutosha sio mauchafu ya kujenga ukuta kisha kujaza maudongo
Screenshot_20210322-233611.jpg
JamiiForums1223203710.jpg
Screenshot_20200914-145757.jpg
 
Tz has one city najaribu kukuonyesha vile mko na upuzi wa kupindukia.., even Mwanza haiwezi karibia Eldoret in standards.., pengine uwe tu kipofu.., yaani blind patriotism, kutetea ujinga ndio unajaribu hizi makazi zimeshinda sehemu nyingi za Dar-kabul-salaam
View attachment 1999909
View attachment 1999910
View attachment 1999915
View attachment 1999919
View attachment 1999922
View attachment 1999923
View attachment 1999927
Acha kujitia aibu ndogo ndogo....nenda ulete kisumu apa ili Chuga upumulie kisohoni
 
Back
Top Bottom