Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good morning danganyikans

This is our health CS on a visit at Narok County Referral Hospital, Renal Center. Kenya has 54 renal centers countrywide, equipped with state of the art dialysis machines in all 47 counties.

Kama Tanzania ikona renal centers mingi kutushinda, I will delete my account. 😂😂😂😂😂

IMG_20211105_095144.jpg
 
Wafanye Singapore port kama case study . Halafu serikali implementation kidogo kidogo . Jamaa wapo advanced kwenye port management kiasi kwamba wanasema kila dakika 2 Hadi 3 meli unazingia na kutoka . Ukiweza punguza foleni maana yake ushashinda biashara. Vifaa viwe more advanced and automated
 
linganisha huu uharo na mama ngina water front park.......



mama ngina water front park

EbVmty-WkAAEsbf


EHeUEhMXYAAJI_P.jpg


EHWCsmpWoAYsQXd


E2tGhNSWYAASyEK


E2tGdV8WQAEyNP4
Tofauti yake ni kwamba hiyo ya juu ni very modern lkn pia hizo picha ziko tofauti, kuna moja ni halisi nyingine ni just a lipstick as usual.
 
Back
Top Bottom