Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,393
- 5,800
Mzee wa Wajir town upo!? 🤣🤣🤣
Mnakamuliwa kodi nyingi alafu zote zinaenda mifukoni mwa wanasiasa, mnaachwa na matumbo yenu kama mapipa, njaa mpk mnapika mawe.
Kisumu ni sawa na Dumila iliyo kando kando ya ZiwaThe so called Kisumu city ... 😂😂👇View attachment 1999842View attachment 1999843View attachment 1999844hapo ndio tumemaliza ukubwa wa Kisumu 😂😂😂.. the 3rd most developed city in Kenya.. Don YF. Njoo hapa
😂😂😂 Kisumu ni hakuna kitu kabisa. Arusha inailaza chali chali kifo cha mendeKisumu ni sawa na Dumila iliyo kando kando ya Ziwa
Ni kwasababu mnakunywa sana chang'aa, "mumeharibu figo mingi".
Lishamba likiona vigorofa virefu vichache sasa mji unaitwa city.., this the stupidity I was trying to point out yenya Tz and Uganda have 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nimemwambia jamaa tushindanishe ARUSHA na Kisumu kwa majengo yenye zaidi ya ghorofa kumi. Mana mchizi anadai sisi tuna city moja, nataka nimuonyeshe kwamba jiji lao la tatu ukishindanisha na jiji letu sie tunaibuka washindi
Pesa za salary na kulipia madeni ya wakubwa
Both cities combined bado haziwezani na ARUSHA alone 😂😂😂.. naona umetafuta usaidizi lakini wapi ... Kisumu+Eldoret=ArushaLishamba likiona vigorofa virefu vichache sasa mji unaitwa city.., this the stupidity I was trying to point out yenya Tz and Uganda have 😂 😂 😂 😂 😂 😂
So Eldoret ni City pia kwa hizi akili zako kwa ajili iko na magorofa zaidi ya 10 floors., ata ya over 20 floors pia iko nayo!..,
Kwa mujibu wa akili za kitanzania naitangaza Eldoret rasmi kama City na sio town tena..., many others to follow suit 😂 😂 😂 😂
View attachment 1999871
View attachment 1999889
View attachment 1999878
View attachment 1999880
View attachment 1999884
View attachment 1999885
View attachment 1999886
View attachment 1999882
View attachment 1999883
View attachment 1999887
kisumu city kwa ubora wakeThe so called Kisumu city ... 😂😂👇View attachment 1999842View attachment 1999843View attachment 1999844hapo ndio tumemaliza ukubwa wa Kisumu 😂😂😂.. the 3rd most developed city in Kenya.. Don YF. Njoo hapa
Tz has one city najaribu kukuonyesha vile mko na upuzi wa kupindukia.., even Mwanza haiwezi karibia Eldoret in standards.., pengine uwe tu kipofu.., yaani blind patriotism, kutetea ujinga ndio unajaribu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 hizi makazi zimeshinda sehemu nyingi za Dar-kabul-salaamBoth cities combined bado haziwezani na ARUSHA alone 😂😂😂.. naona umetafuta usaidizi lakini wapi ... Kisumu+Eldoret=Arusha
Hapa ni Unguja. Kenya bado mpo na Colonial buildings structure. Utakimbia baada ya photos hizi.Eldoret "City" 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 1999891
View attachment 1999893
View attachment 1999902
Residentials
View attachment 1999890
View attachment 1999894
View attachment 1999896
View attachment 1999897
View attachment 1999898
View attachment 1999900
View attachment 1999901
View attachment 1999904
Unguja. Nina uhakika senkunde chache tu utapotea humu.More of Eldoret "City" residentials..., yaani huu mji kwa standards uchwara za Tanzania hii itakua eti ni City 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 1999930
View attachment 1999932
View attachment 1999934
View attachment 1999935
Najua utakula kona tu.Have a good night guys, twas a nice battle,
😂😂😂😂 Kuna nini umeoshesha hapa .? Kisumu eti ni City ..😂😂