Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Airbnb with a view in Town.

IMG_2491.jpg

IMG_2490.jpg

IMG_2489.jpg
 
Sisi tayari tunafanya dialysis kwenye majimbo. Nyinyi mnasubiri hadi 2025? Mpo nyuma sana.
Kenya services ziko hadi kwa sub county hospitals (Level 4) equivalent to District Hospital in TZ.
Kenya ikona 360 Dialysis machines kwa public hospitals. TZ hata 100 hawajafikisha, juzi tu Saudi Arabia imewapea donation ya 60 machines. Lakini mdomo wanapiga hapa while displaying their ignorance inanifurahisha, they are very good entertainers. 😂😂😂😂
 
Kenya services ziko hadi kwa sub county hospitals (Level 4) equivalent to District Hospital in TZ.
Kenya ikona 360 Dialysis machines kwa public hospitals. TZ hata 100 hawajafikisha, juzi tu Saudi Arabia imewapea donation ya 60 machines. Lakini mdomo wanapiga hapa while displaying their ignorance inanifurahisha, they are very good entertainers.
Hahahaha, level four huku kwetu ni sawa na Reginal Hospitals ambazo ndio hizo zinakaribia zote kufungwa dialysis machines.

Kitu kimoja unashindwa kutofautisha Kati ya idadi ya mashine zilizopo na idadi ya Hospitali zinilofungwa,

Tanzania tunasambaza huduma hadi vijijini wakati huko kwenu kila kitu kipo Nairobi pekee, zaidi ya 60% ya Renal dialysis machines zipo Kenyatta National Hospital, by the way prove that Kenya has 360 and Tanzania less than 100
 
Jana nilishangaa sana kuona mtu akiandika "MRI machine is very expensive" Kenya ni nchi maskini haiwezi afford hata tano. 😂😂😂 Lakini sio pia kuonyesha dunia vile nyinyi ni masikini in the way you reason. Funikeni aibu kidogo.

Hahahaha, level four huku kwetu ni sawa na Reginal Hospitals ambazo ndio hizo zinakaribia zote kufungwa dialysis machines.

Kitu kimoja unashindwa kutofautisha Kati ya idadi ya mashine zilizopo na idadi ya Hospitali zinilofungwa,

Tanzania tunasambaza huduma hadi vijijini wakati huko kwenu kila kitu kipo Nairobi pekee, zaidi ya 60% ya Renal dialysis machines zipo Kenyatta National Hospital, by the way prove that Kenya has 360 and Tanzania less than 100
Poleni sana mayatima wa Pombe.
 
Kumbe hujui kwamba kwenye hili tumewapiga? Tatizo leo niko busy sana. Lakini najua nitapata muda na nitakuja kupost evidence hapa. Kwa sasa fuatilia evidence ambayo nairobae anapost.
Don't bother, hii issue tulishamaliza. Walikubali hawana vifaa.
 
Jana nilishangaa sana kuona mtu akiandika "MRI machine is very expensive" Kenya ni nchi maskini haiwezi afford hata tano. Lakini sio pia kuonyesha dunia vile nyinyi ni masikini in the way you reason. Funikeni aibu kidogo.

Taja Hospital 5 zenye MRI machine in Kenya please the
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.

New Microsoft Word Document (3)-1.jpg
 
Back
Top Bottom