Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huku kulia, kuna ghorofa nimehesabu ina floors zaid ya 20.. na kwenye list yetu nadhan haikuwepoView attachment 1998887
Mkuu inabidi tuanze kuhesabu moja baada ya nyingine, unajua tatizo cc huwa hatuweki mkazo wa kuhesabu haya maghorofa ya over 20 floors, lkn kiuhalisia hapa Dar yanaweza kufika 50 na zaidi, alafu pia shida ni kwamba hawajafanya updation on google ndio maana huwezi kuyaona, ila nashauri tuyahesabu upya yapo zaidi ya 50.
 
Storey = singular
Storeys = plural
Building = singular
Buildings = plural.

Unatumia google images kujifunza plural. You people are funny. By the way, those are multiple images of 7 storey buildings. You guys are daft AF.í ½í¸í ½í¸í ½í¸
supposed to be written several (5/6/7) one/two storey(s) buildings! Storey stands for levels/number of floors)!
 
nataman sana ujenzi wa uwanja wa Dodoma uanze mapema, na katika kutafuta mkandaras na michoro yao proposed, nataman atokee mwingine na serikali ikubali kujenga uwanja mwingine Mbeya.. hata kama ni kwa mkopo.. Tanzania ni kubwa.. tunastahili kuwa na viwanja vikubwa at least vitatu kama cha mkapa
 
IMG_2802.jpg
 
Tunaishi hovyo kwa kutumia vigezo vipi? Hii ni Africa haiwezi kufanana na Ulaya hata iweje, wao wana maisha yao kutokana na mazingira yao mabovu naturally, so wanatumia standard zao ku rank dunia nzima, btw hata kama tunaishi hovyo lkn tuko vzr zaidi ya vinchi vingi vya kiafrika mfano Kenya.
Niheshimu maoni yako kwanza,dunia ni moja tofauti za kigeographia izo ziko juu ya uwezo wetu ila bado hadi leo hatuna maisha bora hapa nadhan unaelewa vizuri sihitaji kufafanua sana....wanatuzidi kila kitu ambacho tunachoweza fanya ,leo tunajenga reli ya sgr wanaojenga ni wao...tunahitaji chuma cha reli inabid tuagize Japan,tukihitaji ndege tuagize kwao...tukihitaji magari tuagize kwao hadi chupi nizakuagiza ng'ambo
 
Kwahiyo hii ndio maana ya cc kuwa na maisha mabovu?
 
Wakenya baada ya kuona Tanzanite Bridge wamepotea
Ndo nilitaka kusema hapa, hawa jamaa tukiweka kitu kipya huwa wanakimbia kwa muda zen wanarudi, muda wa kukimbia battle inategemea na kitu tulichokiweka, kikiwa kikali kiasi huwa wanapotea kwa wiki zen wanarudi, kikiwa kikali sn huwa wanapotea hata miezi miwili mpk mitatu, wana roho mbaya sana hawa watu.
 
nataman sana ujenzi wa uwanja wa Dodoma uanze mapema, na katika kutafuta mkandaras na michoro yao proposed, nataman atokee mwingine na serikali ikubali kujenga uwanja mwingine Mbeya.. hata kama ni kwa mkopo.. Tanzania ni kubwa.. tunastahili kuwa na viwanja vikubwa at least vitatu kama cha mkapa
Baada ya kujenga hivyo viwanja tuandae African tournament mana infrastructures tayari zitakuwa ni supportive.
 
Kwa hapa EA ni Tz pekee inayokidhi sifa za kuandaa kombe la mataifa ya Afrika sema tff wamelala hawaongelei kabisa hilo jambo, tuna viwanja vizuri vingi ambavyo vinaweza ku accomodate hii michuano, Tuna Mkapa Stadium, tuna Taifa stadium, tuna CCM kirumba, tuna Amani Stadium, tuna Amri Abeid, tuna Jamuhuri stadium, yn tuna viwanja vingi vzr japo vingine vitahitaji ukarabati kdg, tatizo tumelala sn na hatujiamini tu, vinchi kama mali viliandaa hii michuano kitambo licha ya dhiki walizonazo, na kama Kenya wangepata bahati ya kuwa kama cc wangeandaa hii michuano nawaambia.
 
Back
Top Bottom