President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,001
- 93,350
Utaumia sana my friend. Sisi tuna vifaa na medics. Tangu tuanze jana hakuna hata bongolala mmoja amepost vifaa kwa regional hospital zenu.
Ona hapa vile hadi level 4 zetu zinachapa kazi ya kishua.
Level 4 ndio kitu gani mwangu!?
Sisi hapa masuala hayo hatuyatumii.
Sisi tuna:-
1. Zahanati
2. Kitu cha afya
3. Hospitali ya Wilaya
4. Hospitali ya Mkoa
5. Hospitali ya kanda
6. Hospitali ya Taifa.
Usipende kukariri.