Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rais wa danganyika aliguza Kipchoge, the greatest marathoner of all time.
FB_IMG_16358695468889801.jpg
 
Heehee, ati Tanzania ishinde Kenya kwa idadi ya ng'ombe? Lawd have mercy. Halafu put in mind pia inategemea ng'ombe gani. Wewe na Ng'ombe yako inayotoa maziwa lita moja kwa siku ujilinganishe na Mkulima wa pale Githunguri au Eldoret mwenye ng'ombe moja inatoa lita 40 kwa siku? Yani ng'ombe moja huku inatoshana na ng'ombe 40 hapo kwenu.

Anyway, hamna haja ya maneno tupu maanake hapo munakuwanga number 1. Twende kwa facts...........
game over NDINDA Chamoto The best 007 kumbukeni only Kenya and Ethiopia consistently produce more milk than they need in Africa and only Kenya, Ethiopia and Uganda export milk.



View attachment 1995450
Unawakilisha wakenya wengi ambao ni "Ignorant" katika Mambo mengi, pole sana
 
How does this reduce number of Kunyans who die of hunger yearly?, reduce Corruption, fight tribalism, water availability to normal citizens?
 
Back
Top Bottom