Sawa wanaishi kwa buku je kama wana kila kitu? Mtu shambani ana kila kitu unafosi awe na pesa ndiyo aonekane ana good standard of living?Watu wanaishi kwa buku mbili kwa siku
Magufuli alikufia Nairobi Hospital. Hiyo pekee inamaliza mjadala wa nani ana hospitali nzuri kati ya Kenya na danganyika.
Na venye Magufuli alikua hapendi Kenya lakini kifo ni nani. View attachment 1998623





takataka ya kiberasafi hatua ilipofika ni pazur.. nashauri.. parking wangeweka pavement pia.. hata mauchafu kama makaratas yanakuwa rahis kuwa collected.. na hapo junction wangeweka hata roundabout.. space inaruhusu
Mzoga wa chatotakataka ya kibera

Kenya niliwaambia humu ni bomu na ethiopia wakenya wakabisha sasa ethiopia tayari kimenukaKila kitu kwa ss kinakuja Tz, investors huwezi kuwaongopea wacheze kamari kupeleka Investment zao kwenye vinchi maskini na vyenye laana kama Kenya.
Dar yote inaishia hapo
Village Amateur Tournament!.
Hivi kenya kuko na slum ngapi ?Dar yote inaishia hapo
Hadi vichakani kulee mashambani zinapatikana..,Loadwar vile vitu viko hko huwezi amini mzeee..ingia kw account yao fb...
SampleView attachment 1998529View attachment 1998530
Turkana hyo, poleni sana ndugu zetu
dah bado bado,ila sasa ivi poa natembea tembea kwa kunyata maana bado piopio hawajaruhusu kutoaMkuu unaendeleaje?.
kabisanataman sana ujenzi wa uwanja wa Dodoma uanze mapema, na katika kutafuta mkandaras na michoro yao proposed, nataman atokee mwingine na serikali ikubali kujenga uwanja mwingine Mbeya.. hata kama ni kwa mkopo.. Tanzania ni kubwa.. tunastahili kuwa na viwanja vikubwa at least vitatu kama cha mkapa
chupi ya NairobiWalker ni kubwa kuliko kiuno chakeNiheshimu maoni yako kwanza,dunia ni moja tofauti za kigeographia izo ziko juu ya uwezo wetu ila bado hadi leo hatuna maisha bora hapa nadhan unaelewa vizuri sihitaji kufafanua sana....wanatuzidi kila kitu ambacho tunachoweza fanya ,leo tunajenga reli ya sgr wanaojenga ni wao...tunahitaji chuma cha reli inabid tuagize Japan,tukihitaji ndege tuagize kwao...tukihitaji magari tuagize kwao hadi chupi nizakuagiza ng'ambo
eti Wajir city 😂 😂 😂 😂 sisi sio wa kuita vijiji eti ni city kama Tanzania na Uganda., huo upuzi ni wenu na waganda 😂 😂 😂 😂Mzee wa
Wajir Town vs Shenzhen China
THIS IS WAJIR CITY FROM KENYA
View attachment 1998626
THIS IS SHENZHEN CITY FROM CHINAView attachment 1998627
Likoni bridge vipi
I like such arguments, worthy to read, though kuna acting clever and being evasive of some outlined points, kujitia hamnazo ki u-sniper, just so to appear on top or win the argument, ila mikwara ndio zimejaa humu, entertainment zone, mapicha gang, zero IQ.,They made the game and make you play by the rules. Wake up and smell the coffee.
Hapo nilimaanisha $0.001, pilipili hoho (green peppers) zinauzwa kwa mafungu hivyo moja inaweza kuwa 23/-
You're so indoctrinated with their game, you can't think for yourself.
By using your analogy, does every person in Ireland makes $94,556? You bet, it's not everyone, it's just an average number, so why do you blindly think that I meant to say, the Irish need 240,000km of rail? It was an analogy, I was challenging your narrative, the so called developed. Does Ireland have the muscle to pull up funds to build any projects worth 240,000km of rail concurrently with other project just like the Chinese?
If you are sold with the idea that the average number (GDP) is the yardstick then Ireland should have the muscle to build infrastructure (any) worth eight times that of China to reflect its GPD number, regardless of it's size (area or population).
linganisha huu uharona mama ngina water front park.......
mama ngina water front park
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




hapo sasa ndiyo nimekugundua kuwa huna akili timamuWengi sana mnaishi hovyo, mwenzako kasema ukweli wewe wivu yako kwa Kenya inakusumbua., mko hovyo sana wengi wenu, wewe ukiwemo, fikra zako ni dhibitisho siitaji kukuona, na hili ni kutokana na ujinga tu., nchi(hardware) iko sawa raiya na serikali ndiyo hovyo, a software problem, wachana na Kenya wewe, kila mtu abebe mzigo wake., 😂 😂 😂 😂 😂 mnatajwa na Ethiopia na DRC kama nchi tatu zilizo beba watu fukara wa kutupwa, sio tu fukara.., jikubali upone.Tunaishi hovyo kwa kutumia vigezo vipi? Hii ni Africa haiwezi kufanana na Ulaya hata iweje, wao wana maisha yao kutokana na mazingira yao mabovu naturally, so wanatumia standard zao ku rank dunia nzima, btw hata kama tunaishi hovyo lkn tuko vzr zaidi ya vinchi vingi vya kiafrika mfano Kenya.