President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,372
Enyewe Africa bado tuko nyuma, lakini nikikumbuka Tanzania ni 1 per million najipatia hopes Kenya tunaelekea mahali. 😁😆
3. Songwe Regional Hospital
Enyewe Africa bado tuko nyuma, lakini nikikumbuka Tanzania ni 1 per million najipatia hopes Kenya tunaelekea mahali. 😁😆
All developed nation are slowly growing,they r just keep moving forward...china in other hand is developing fast because there are a lot of job to be done there...the good thing we can learn from Chinese is the spirit they have to transform things swiftly,I can say china is really closing gap so fast unlike us we still lagging behindsWhat makes you think China economic growth is worse than Austria? The G7 wouldn't have met earlier this year with one agenda, China, if it wasn't doing well economically.
Enyewe Africa bado tuko nyuma, lakini nikikumbuka Tanzania ni 1 per million najipatia hopes Kenya tunaelekea mahali. 😁😆
Enyewe Africa bado tuko nyuma, lakini nikikumbuka Tanzania ni 1 per million najipatia hopes Kenya tunaelekea mahali. 😁😆
Kaka, hawa jamaa wako mbali sana ila vipimo vya maendeleo walivyojiwekea wazungu vinawabeba.All developed nation are slowly growing,they r just keep moving forward...china in other hand is developing fast because there are a lot of job to be done there...the good thing we can learn from Chinese is the spirit they have to transform things swiftly,I can say china is really closing gap so fast unlike us we still lagging behinds
Enyewe Africa bado tuko nyuma, lakini nikikumbuka Tanzania ni 1 per million najipatia hopes Kenya tunaelekea mahali. 😁😆
Safi sana, sijui huo mwenge utakuwa na moto wa gesi au wataweka LED.
Wachina wameshafika pazuri hadi muda huu sababu iyo per capita ya $10800 Bado mtu anaishi vizuri tu...ukiangalia idadi ya $Millionaires n $billionaires inaongezeka kwa kasi sana China....imagine japo ni wengi sana lakini wameweza ku focus na kuenda pamoja...maisha tunayoishi watz leo wao waliyaishi miaka ya 1970s Ni watz wachache ambao tunaishi vizuri wengi bado sana wanaishi hovyoKaka, hawa jamaa wako mbali sana ila vipimo vya maendeleo walivyojiwekea wazungu vinawabeba.
Ni kweli tujifunze kutoka kwao, maendeleo waliyoyafanya ni kutokana na kujiwekea vipimo vyao vya maendeleo. Mfano waliona reli badala ya ndege itawatoa kwa kuwa kwenye reli watatumia sheria zao, wakati usafiri wa anga unatumia sheria za kimataifa, hivyo ni rahisi kubanwa na wengine.
Tunaishi hovyo kwa kutumia vigezo vipi? Hii ni Africa haiwezi kufanana na Ulaya hata iweje, wao wana maisha yao kutokana na mazingira yao mabovu naturally, so wanatumia standard zao ku rank dunia nzima, btw hata kama tunaishi hovyo lkn tuko vzr zaidi ya vinchi vingi vya kiafrika mfano Kenya.Wachina wameshafika pazuri hadi muda huu sababu iyo per capita ya $10800 Bado mtu anaishi vizuri tu...ukiangalia idadi ya $Millionaires n $billionaires inaongezeka kwa kasi sana China....imagine japo ni wengi sana lakini wameweza ku focus na kuenda pamoja...maisha tunayoishi watz leo wao waliyaishi miaka ya 1970s Ni watz wachache ambao tunaishi vizuri wengi bado sana wanaishi hovyo
Mnataka battle ya equipment?Mukinunua equipments tutafanya comparison, hospitali ni vifaa na wafanyikazi.
Hapo pembeni wakifanya pavement itakuwa noma sana.View attachment 1998803
Coco Mihogo
Hilo la watu bilioni kadhaa kuweza kuishi pamoja, si kitoto. Hiyo inatakiwa itumike kama kigezo cha kuendelea.Wachina wameshafika pazuri hadi muda huu sababu iyo per capita ya $10800 Bado mtu anaishi vizuri tu...ukiangalia idadi ya $Millionaires n $billionaires inaongezeka kwa kasi sana China....imagine japo ni wengi sana lakini wameweza ku focus na kuenda pamoja...maisha tunayoishi watz leo wao waliyaishi miaka ya 1970s Ni watz wachache ambao tunaishi vizuri wengi bado sana wanaishi hovyo
Tuko vizuri sana tuu, tofauti na nchi nyingi za kiafrika na hata duniani, hatuigi mambo ya wengine. Mfano kuongea kiswahili ni moja ya ustaarabu ulioshinda nchi nyingi za Afrika. Ukiangalia miji mingi ya Afrika iko iko tuu kama vile wakoloni walivyoiacha, Tanzania ni tofauti kabisa.Tunaishi hovyo kwa kutumia vigezo vipi? Hii ni Africa haiwezi kufanana na Ulaya hata iweje, wao wana maisha yao kutokana na mazingira yao mabovu naturally, so wanatumia standard zao ku rank dunia nzima, btw hata kama tunaishi hovyo lkn tuko vzr zaidi ya vinchi vingi vya kiafrika mfano Kenya.