NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
Hehehe!! Hukumbuki Magufuli alivyokua anawakandia wanawake weusi na kusifia weupe mbele ya mkewe ambaye yeye mwenyewe ni mweusi, dah yule mama alivumilia kwa kweli.
Magufuli mwenyewe pia mweusi tititi.🤣🤣
Yani huko Bongo mwanaume akishika pesa ni mademu weupe tu atakimbilia. Ndio maana unapata lijitu lieusi kama Harmonize kwa video limezungukwa na mademu weupe na wazungu tu. Yani mijamaa inaabudu weupe balaa. Utumwa tu.

