Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanawake wa kenya washukuri sana ujio wa mikorogo ya kukandika mwili kama unapiga plaster nyumba otherwise ni wanaume wenzetu. Ukimkuta mkenya mrembo basi katokea somalia
Hehehe, mikorogo hamna Kenya, hiyo ni tabia ya Congo, Nigeria na Tanzania. Kenyans are proud of their color just like Ugandans. Tanzania ndio muna mikorogo maana huko mnaabudu rangi nyeupe. Hata matusi yenu mara nyingi hugusia weusi wa rangi alafu mastaa wenu wote hutafuta wanawake weupe weupe. Video za miziki munapenda kuweka wazungu. Yani kwa Mtanzania weupe wa rangi ndio sura. Hapa Kenya tunajipenda tulivyo - ukizaliwa mweusi sawa, ukizaliwa mweupe sawa. Hata mastaa wetu mara nyingi huimba nyimbo za kusifia wanawake weusi. We are proud of being black ndio maana huku hakuna mikorogo kama huko kwenu.
 
Oy unatujazia seva na kutumalizia bando bure na picha zisizo na msingi post project mpya au hatua bora kwa project zinazo endelea kujengwa
Project yao wanayoitegemea ni moja tu mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kubishana na wewe nikupoteza muda tu. Na ndio maana nasema danganyika wana IQ ndogo na unaendelea kudhibitisha hili.
You still in stone age education mwanagu.
Don't talk about science if you don't know.

Am just trying to educate you. Because your head is pumpkin, you will never understand.🤣🤣🤣

1635883074170.png
 
Hehehe, mikorogo hamna Kenya, hiyo ni tabia ya Congo, Nigeria na Tanzania. Kenyans are proud of their color just like Ugandans. Tanzania ndio muna mikorogo maana huko mnaabudu rangi nyeupe. Hata matusi yenu mara nyingi hugusia weusi wa rangi alafu mastaa wenu wote hutafuta wanawake weupe weupe. Video za miziki munapenda kuweka wazungu. Yani kwa Mtanzania weupe wa rangi ndio sura. Hapa Kenya tunajipenda tulivyo - ukizaliwa mweusi sawa, ukizaliwa mweupe sawa. Hata mastaa wetu mara nyingi huimba nyimbo za kusifia wanawake weusi. We are proud of being black ndio maana huku hakuna mikorogo kama huko kwenu.
Kama mnajivunia rangi yenu ya asili mbn hupost wanawake halisi wa kikenya.
 
Hehehe, mikorogo hamna Kenya, hiyo ni tabia ya Congo, Nigeria na Tanzania. Kenyans are proud of their color just like Ugandans. Tanzania ndio muna mikorogo maana huko mnaabudu rangi nyeupe. Hata matusi yenu mara nyingi hugusia weusi wa rangi alafu mastaa wenu wote hutafuta wanawake weupe weupe. Video za miziki munapenda kuweka wazungu. Yani kwa Mtanzania weupe wa rangi ndio sura. Hapa Kenya tunajipenda tulivyo - ukizaliwa mweusi sawa, ukizaliwa mweupe sawa. Hata mastaa wetu mara nyingi huimba nyimbo za kusifia wanawake weusi. We are proud of being black ndio maana huku hakuna mikorogo kama huko kwenu.
Mzee maziwa Afrika nzima.
Can you please tell us which milk brand do you sell in Liberia!?
 
Project yao wanayoitegemea ni moja tu mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu mpuuzi hsdi nstaka ni zime set ya jf kufungua picha maana anayumalizia bando tu
 
Picha mpya hawana mzee, huwa wanapost zile zile, wakipost mpya ni ile ya project moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehe, mikorogo hamna Kenya, hiyo ni tabia ya Congo, Nigeria na Tanzania. Kenyans are proud of their color just like Ugandans. Tanzania ndio muna mikorogo maana huko mnaabudu rangi nyeupe. Hata matusi yenu mara nyingi hugusia weusi wa rangi alafu mastaa wenu wote hutafuta wanawake weupe weupe. Video za miziki munapenda kuweka wazungu. Yani kwa Mtanzania weupe wa rangi ndio sura. Hapa Kenya tunajipenda tulivyo - ukizaliwa mweusi sawa, ukizaliwa mweupe sawa. Hata mastaa wetu mara nyingi huimba nyimbo za kusifia wanawake weusi. We are proud of being black ndio maana huku hakuna mikorogo kama huko kwenu.
Unamaanisha Vera Sidika ni Mtanzania?? Acha porojo nyingi mkuu
 
Hehehe..................kama huyu niliyemposti? Remember, the more a country develops, the more their women become undesirable for marriage - making money is a masculine trait and once women start making money, men find them masculine. Fortunately, our women retain their beauty despite their masculine go-getter character.
You can't be masculine and retain a high level of femininity, unless you don't know a thing about endocrinology.

The societies you call them "developed" are so messed up with intermixing of gender roles to the point that they are now creating a new type of shit called transgender. You can't make babies with that, how do you think the society progresses when you have a large number of people who can't mate?
 
Back
Top Bottom