Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where did I mention retaining high level of femininity? Read to understand bro. Usianze kureason kama ichoboy01 na Venus Star hapa hivi.

Halafu mimi hufurahia jinsi some Africans hushinda wakisema Western societies are messed up yet kila siku wanakimbilia huko.

Anyway, all societies are headed that way and soon marriage will be obsolete. Hapo Tanzania kila siku munang'ang'ana Uchumi wenu ukue. Munang'ang'ana mshinde Kenya. You think things will remain the same? There's a level of development kabla mfike you'll need to let go of some archaic gender roles and as a result your women will become exactly as those Western women you're talking about. Otherwise mkitaka kuretain hizo gender roles mtabaki hapo na umaskini wenu.
Nchi yenye njaa kama Kenya ndio wanawake wanakua masculine baada ya wanaume kushindwa kuprovide
 
3. Wajir Kenya
1635923172946.png

1635923272701.png

1635923353889.png
 
Yeah uko Sawa. Hakuna hoja Kwamba mko vibaya kwenye diplomasia.

Mnachangamkia fursa na kuside any part as you will have assurance of piece of cake. But Kwa issue hizo ndogo hadi serikali yenu kuingilia kati ni zaidi ya matumizi ya diplomasia.. Maana hao wahabeshi waliwarushia tuhuma kadhaa hao wakennya ndio ikawakamata..

How your govnt intervene and manage to extract them ni vitu hatuwezi kujua. What they talk and offer each other.
Kwanza hakukuwa na haki hapo maana hata mahakama inaendeshwa na lugha ambayo Wakenya hawaelewi. Mahakama wanazungumza lugha ya Amharic na hawatafuti interpreters wa kizungu. Wakenya hao walisema kwamba hawakuelewa mashtaka waliosomewa na wala hawakuelewa kifungo walichopata na wala hawakuelewa chochote kilichoendelea kortini maana korti ilikataa kuwatafutia wakalimani. Vilevile South Sudan wanatumia lugha yao ya asili na wala hawatumii kiingereza lugha ya kimataifa. Hapo kuna haki gani ikiwa washtakiwa hawaelewi lugha inayotumika kortini? Serikali ya Kenya ilifanya vizuri kuwaokoa. Nchi zingine bado ni shit-hole tu hata hakuna haja ya Wakenya kuenda huko.
 
Mandera governer's Mansion,natamani kuona Kama jengo la hospitali au shule zinafanana na hili 'hekalu huko Mandera.View attachment 1996619
Sometimes media hufanya bias reporting kwasababu, habari zisizo kua na maana huwatengenezea pesa kuliko habari za maana. Devolution has really improved government service delivery in Kenya. Kuna a lot of positive development lakini ni nadra sana uone media wameipa kipaumbele. Anyway here is a photo of Mandera County Referral Hospital, which is a product of devolution.

images (32).jpeg

images (31).jpeg
 
Kwanza hakukuwa na haki hapo maana hata mahakama inaendeshwa na lugha ambayo Wakenya hawaelewi. Mahakama wanazungumza lugha ya Amharic na hawatafuti interpreters wa kizungu. Wakenya hao walisema kwamba hawakuelewa mashtaka waliosomewa na wala hawakuelewa kifungo walichopata na wala hawakuelewa chochote kilichoendelea kortini maana korti ilikataa kuwatafutia wakalimani. Vilevile South Sudan wanatumia lugha yao ya asili na wala hawatumii kiingereza lugha ya kimataifa. Hapo kuna haki gani ikiwa washtakiwa hawaelewi lugha inayotumika kortini? Serikali ya Kenya ilifanya vizuri kuwaokoa. Nchi zingine bado ni shit-hole tu hata hakuna haja ya Wakenya kuenda huko.
Kutokujua lugha siyo kosa la mahakama.
 
Sometimes media hufanya bias reporting kwasababu, habari zisizo kua na maana huwatengenezea pesa kuliko habari za maana. Devolution has really improved government service delivery in Kenya. Kuna a lot of positive development lakini ni nadra sana uone media wameipa kipaumbele. Anyway here is a photo of Mandera County Referral Hospital, which is a product of devolution.

View attachment 1996682

View attachment 1996683
Hapo panaweza pakafanana na hospital za wilaya Tanzania. It will not be at the level of referral in Tanzania.
But for your level its okay.
 
Kwanza hakukuwa na haki hapo maana hata mahakama inaendeshwa na lugha ambayo Wakenya hawaelewi. Mahakama wanazungumza lugha ya Amharic na hawatafuti interpreters wa kizungu. Wakenya hao walisema kwamba hawakuelewa mashtaka waliosomewa na wala hawakuelewa kifungo walichopata na wala hawakuelewa chochote kilichoendelea kortini maana korti ilikataa kuwatafutia wakalimani. Vilevile South Sudan wanatumia lugha yao ya asili na wala hawatumii kiingereza lugha ya kimataifa. Hapo kuna haki gani ikiwa washtakiwa hawaelewi lugha inayotumika kortini? Serikali ya Kenya ilifanya vizuri kuwaokoa. Nchi zingine bado ni shit-hole tu hata hakuna haja ya Wakenya kuenda huko.
Yeah lugha changamoto.

Hivyo gavoo ikawapigia kifua wakaachiliwa ikawasema hao sio spy na hawafanyii kazi any intelligence agency ya nje ama ndani ya kenya.

Kwa Sudan may be Sawa.. But Kwa Ethiopia nadhani you two have issues. Huyo reporter alidakwa mazingira tatanishi.
 
picture7-png.2299736

New design of footbridge that goes under the expressway instead of over the expressway.
 
TANZANITE park, Njoo hapa siku yoyote kuanzia saa tisa hasa weekend , panda roofrop kuna swimming pool inaitwa CLOUD 9, ukashuhudie vile Mungu kaumba😎. (hata kama hutaogelea, we nunua kinywaji chako na Swimming pool na vyote vilivyomo kwenye maji vitakua kama screen ya TV, .
 
Yeah lugha changamoto.

Hivyo gavoo ikawapigia kifua wakaachiliwa ikawasema hao sio spy na hawafanyii kazi any intelligence agency ya nje ama ndani ya kenya.

Kwa Sudan may be Sawa.. But Kwa Ethiopia nadhani you two have issues. Huyo reporter alidakwa mazingira tatanishi.
Serikali ya Kenya na Serikali ya Ethiopia zina uhusiano wa karibu sana usishangae Wakenya hao kuwachiliwa huru baada ya serikali ya Kenya kuingilia kati. Uhusiano wa karibu kama huo huwezi kujua walizungumza nini faraghani.
 
Back
Top Bottom