Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi waliazima hizo Ngozi ama?
Wewe huna akili, Kwahiyo hao watu wawili ulioweka hapo ndio inaashiria asilimia kubwa ya Wakenya wapo hvyo? Kwani wewe hujui list za nchi zenye raia wenye muonekano mbovu hapa Afrika? Hivi km hyo list ikiwekwa unadhani Kenya itapitwa na nani!!
 
1955 vs 2021
tapatalk_1633074464392.jpg
 

Attachments

  • tapatalk_1635511179938.jpg
    tapatalk_1635511179938.jpg
    83 KB · Views: 7
Picha moja Nairobi chaliiiiii, vighorofa viwili vitatu vya Westlands, upper hill na CBD, the rest ni pori, huwezi kupata picha iko barely namna hii hapa Dar, onaa
JamiiForums-1549442821.jpg
 
Samia aliguza Kipchoge just to confirm whether he is indeed human.
Unakimbiaje 42km in less than 2 hours?
Yani unakimbia distance ya kutoka Thika hadi Nairobi dah!
FDPYc6uXEAE7bNf.jpg
 
Sisi ndiyo furaha yetu, inatakiwa wazidi kuwa hovyo na ikiwezekana lile bwawa lao livunjwe kabisa ili tubaki pekeetu monopoly wa kusambaza umeme East and Central Africa
Halafu ATCL yenu pia ipae na kuchukua nafasi ya Ethiopian airlines? Usiwe na roho ya kichawi hivyo. Usimuombee mwenzako mabaya, leo yeye kesho wewe. Hujui kesho nini kinakungoja.
 
Picha moja Nairobi chaliiiiii, vighorofa viwili vitatu vya Westlands, upper hill na CBD, the rest ni pori, huwezi kupata picha iko barely namna hii hapa Dar, onaa View attachment 1996529
By the way Westlands haipo kwenye hio shot. Hahaha usituchekeshe mzee. Westlands ipo nyuma ya hio picha. Hio ni picha ya Nairobi CBD na Uppperhill pekee. Njoo Nairobi utembee ili uelewe haya maeneo.
 
Halafu ATCL yenu pia ipae na kuchukua nafasi ya Ethiopian airlines? Usiwe na roho ya kichawi hivyo. Usimuombee mwenzako mabaya, leo yeye kesho wewe. Hujui kesho nini kinakungoja.
Adui muombee njaa, hayo ndiyo mawazo ya kibepari, tatizo wewe Tony ni mTz una mawazo ya kijamaa sn
 
Kenya is also on the Brink on the same thing, Ukabila ni jambo linalotafuna taratibu... Ukienda Kenya unaingia Supermarket 10 unakuta kuanzia wahudumu wa ndani, walinzi hadi wafagiaji wanaongea na kuhudumia kwa lugha za makabila.. this is so bad...

Imagine hadi benki nimewahi kuona hii
Ni Kenya pekee ambapo kuna ukabila au ni Afrika nzima isipokuwa TZ? Afrika nzima ina ukabila, nyinyi tu ndio hamna.
 
It's tragedy indeed.

Hivi yule muandishi wa habari mkenya aliedakwa Ethiopia aliachiwa? Kipindi kile waoromo wana andamana alivyouwawa Hachalu Hundessa yule msanii.. Ilionekana jamaa yenu alikuwa safe house na viongozi wa upinzani wa Ethiopia wakiteta mambo Yao ndio wakavamiwa na vikosi vya PM Abey
Aliachiliwa baada ya serikali ya Kenya kuingilia kati.
 
By the way Westlands haipo kwenye hio shot. Hahaha usituchekeshe mzee. Westlands ipo nyuma ya hio picha. Hio ni picha ya Nairobi CBD na Uppperhill pekee. Njoo Nairobi utembee ili uelewe haya maeneo.
Hapa vipi, Westlands ilee, picha moja tu kila kitu ndani
JamiiForums343155159.jpg
 
S
Hapa vipi, Westlands ilee, picha moja tu kila kitu ndaniView attachment 1996538
Tatizo linabaki palepale. Sasa hapa ninaona CBD na Westlands pekee ila sioni upperhill. Upperhill kuna majengo marefu kama UAP towers, Britam towers na Prism towers. Wacha nikuambie mapema tu kwamba ni ngumu upate picha ya Nairobi inayozichukua maeneo yote tatu westlands, upperhill na CBD katika picha moja. Nairobi ni kubwa sio ndogo Kama Dar yaani kapicha kamoja kameshachukua Dar CBD yote.
 
Wewe huna akili, Kwahiyo hao watu wawili ulioweka hapo ndio inaashiria asilimia kubwa ya Wakenya wapo hvyo? Kwani wewe hujui list za nchi zenye raia wenye muonekano mbovu hapa Afrika? Hivi km hyo list ikiwekwa unadhani Kenya itapitwa na nani!!
Mimi nimeweka tu picha ya mademu Wakenya, ukasema Sio Wakenya halisi. Nikakuuliza kama ni Wamarekani, ukasema ngozi zao Sio za Kikenya. Ndio maana nimekuuliza kwani waneazima hizo Ngozi? Hivi hujioni kama wewe ndiye huna akili? 🤣🤣
 
Where did I mention retaining high level of femininity? Read to understand bro. Usianze kureason kama ichoboy01 na Venus Star hapa hivi.

Halafu mimi hufurahia jinsi some Africans hushinda wakisema Western societies are messed up yet kila siku wanakimbilia huko.

Anyway, all societies are headed that way and soon marriage will be obsolete. Hapo Tanzania kila siku munang'ang'ana Uchumi wenu ukue. Munang'ang'ana mshinde Kenya. You think things will remain the same? There's a level of development kabla mfike you'll need to let go of some archaic gender roles and as a result your women will become exactly as those Western women you're talking about. Otherwise mkitaka kuretain hizo gender roles mtabaki hapo na umaskini wenu.
Wewe Kazi yako ni kuandika barua ndeeefu kama hii. But your head haina chochote ndani yake.

Nimekuuliza swali taja brand ya maziwa yenu mnayouza nje ya Kenya. Umebaki kuandika articles na kutuandikia poems.

I am a scientist, I deal with you scientifically. You will never Understand, because your education level is very low.
 
Wadau haki walahi huko Ethiopia mambo yanazidi kuharibika. Mambo yanazidi kuoza kabisa huko.
Mzee wa Account upo!?
At least wewe kidogo umepata japo education nje ya Kenya. You have brains.

Nakusihi wasaidie wenzako wapate exposure japo kidogo.

Issue ya Ethiopia tunawaachia wao, wataitatua.
 
Back
Top Bottom