Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,226
🤣🤣😂Ndugu zenu wanigeria magorofa yanawabomokea nendeni nailand foruum mkawaelekeze jinsi ya kuokoa ,maana nyinyi ni wazoefu wa hii issue
🤣🤣😂Ndugu zenu wanigeria magorofa yanawabomokea nendeni nailand foruum mkawaelekeze jinsi ya kuokoa ,maana nyinyi ni wazoefu wa hii issue
Ndio mkuu.Hizi picha ni ubungo pale ilipokuwa stendi ya mkoa?
Hao ninao post ni wamerakani ama?Kama mnajivunia rangi yenu ya asili mbn hupost wanawake halisi wa kikenya.
Sijasema hawapo, nimesema the vice is not as rampant in Kenya as it is in Tanzania. Most Kenyan women retain their skin colour but of course we have exceptions.Unamaanisha Vera Sidika ni Mtanzania?? Acha porojo nyingi mkuu
Where did I mention retaining high level of femininity? Read to understand bro. Usianze kureason kama ichoboy01 na Venus Star hapa hivi.You can't be masculine and retain a high level of femininity, unless you don't know a thing about endocrinology.
The societies you call them "developed" are so messed up with intermixing of gender roles to the point that they are now creating a new type of shit called transgender. You can't make babies with that, how do you think the society progresses when you have a large number of people who can't mate?
Hehehe, Ila hii comment imewadunga mioyo wabongo maanake ni ukweli mtupu. Wacha niite MK254 adhibitishe maanake yeye ndiye Mkenya aliyeishi Bongo kwa muda mrefu Zaidi.🤣🤣Hehehe, mikorogo hamna Kenya, hiyo ni tabia ya Congo, Nigeria na Tanzania. Kenyans are proud of their color just like Ugandans. Tanzania ndio muna mikorogo maana huko mnaabudu rangi nyeupe. Hata matusi yenu mara nyingi hugusia weusi wa rangi alafu mastaa wenu wote hutafuta wanawake weupe weupe. Video za miziki munapenda kuweka wazungu. Yani kwa Mtanzania weupe wa rangi ndio sura. Hapa Kenya tunajipenda tulivyo - ukizaliwa mweusi sawa, ukizaliwa mweupe sawa. Hata mastaa wetu mara nyingi huimba nyimbo za kusifia wanawake weusi. We are proud of being black ndio maana huku hakuna mikorogo kama huko kwenu.
YahHizi picha ni ubungo pale ilipokuwa stendi ya mkoa?
Kwa mara nyingine tena umeshindwa kuelewa my concern, tatizo Wakenya hamna akili, ss hapo we unavyoona umepost Wakenya halisi? Hao uliopost wana sura na ngozi za kikenya?Hao ninao post ni wamerakani ama?
Nani ashindane na Kenya, nyinyi Wakunya ndio mnashindana na Tz, nchi yetu mpk ss imefanya mambo makubwa ambayo hamjawahi kufikiria kufanya, tunafanya miradi mikubwa kwa pesa za ndani mfano the longest electrical SGR line in Africa, the biggest hydroelectric dam in East and Central Africa, the most useful brt system in Africa, the construction of the biggest ship in East and Central Africa, bus terminals each region of Tz, electricity connectivity to all villages (we lead the contintent), miradi ya maji vijijini na mijini, ununuzi wa ndege 16 kwa cash basis.Where did I mention retaining high level of femininity? Read to understand bro. Usianze kureason kama ichoboy01 na Venus Star hapa hivi.
Halafu mimi hufurahia jinsi some Africans hushinda wakisema Western societies are messed up yet kila siku wanakimbilia huko.
Anyway, all societies are headed that way and soon marriage will be obsolete. Hapo Tanzania kila siku munang'ang'ana Uchumi wenu ukue. Munang'ang'ana mshinde Kenya. You think things will remain the same? There's a level of development kabla mfike you'll need to let go of some archaic gender roles and as a result your women will become exactly as those Western women you're talking about. Otherwise mkitaka kuretain hizo gender roles mtabaki hapo na umaskini wenu.











MK254 anaujua ukweli, kuna mTz aliwahi kujifanya mkenya akamfuata PM akamuuliza kuhusu Tz je ni kweli iko hovyo? Akamjibu iko vzr tu sema tunawacharua hawa Watz mana wanajiona wamebarikiwa snHehehe, Ila hii comment imewadunga mioyo wabongo maanake ni ukweli mtupu. Wacha niite MK254 adhibitishe maanake yeye ndiye Mkenya aliyeishi Bongo kwa muda mrefu Zaidi.![]()






Nice one. This is the beginning of the process of Nairobi becoming a financial centre in Africa.Prudential Insurance has moved its African office from London to Nairobi, Kenya. 💪
View attachment 1995917
Alimguza aone kama kweli huyu ni binadamu aliye na nyama na mifupa au ni robot.
Kwa lipi hasa la ajabu alilofanya? Au ndo kukimbia, mbio zenyewe za km 2000Alimguza aone kama kweli huyu ni binadamu aliye na nyama na mifupa au ni robot.


Sisi ndiyo furaha yetu, inatakiwa wazidi kuwa hovyo na ikiwezekana lile bwawa lao livunjwe kabisa ili tubaki pekeetu monopoly wa kusambaza umeme East and Central AfricaWadau haki walahi huko Ethiopia mambo yanazidi kuharibika. Mambo yanazidi kuoza kabisa huko.











Hivi waliazima hizo Ngozi ama?Kwa mara nyingine tena umeshindwa kuelewa my concern, tatizo Wakenya hamna akili, ss hapo we unavyoona umepost Wakenya halisi? Hao uliopost wana sura na ngozi za kikenya?
Kenya is also on the Brink on the same thing, Ukabila ni jambo linalotafuna taratibu... Ukienda Kenya unaingia Supermarket 10 unakuta kuanzia wahudumu wa ndani, walinzi hadi wafagiaji wanaongea na kuhudumia kwa lugha za makabila.. this is so bad...Wadau haki walahi huko Ethiopia mambo yanazidi kuharibika. Mambo yanazidi kuoza kabisa huko.
It's tragedy indeed.Wadau haki walahi huko Ethiopia mambo yanazidi kuharibika. Mambo yanazidi kuoza kabisa huko.