carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,273
Sure boss.Serikali ya Kenya na Serikali ya Ethiopia zina uhusiano wa karibu sana usishangae Wakenya hao kuwachiliwa huru baada ya serikali ya Kenya kuingilia kati. Uhusiano wa karibu kama huo huwezi kujua walizungumza nini faraghani.
Wakubwa walimaliza kimessi