Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A nice try ila bado ni ndogo kwa yetu
Kenyan government buildings built by Queen Victoria of UK

Screenshot_20211101-110751.png

1635754113602.png
 
Answer my question please. Tell me which brand of milk do you export to other countries!?

Acha kulia, tunaenda step by step.
Hakuna haja ya kwenda mbali. Wewe mwenyewe hapo Gongo la Mboto unakunywa maziwa ya kenya
 
Hakuna haja ya kwenda mbali. Wewe mwenyewe hapo Gongo la Mboto unakunywa maziwa ya kenya
Duh!! unafukua taarifa ya 2014 almost ten year ago. Are you dead or something!?🤣🤣🤣 can you mention the brand name please.
 
Maisha tz ni mepesi kwa mtu wa nchi yoyote akija awezi teseka
Maisha ni rahisi kw sababu uchumi wenu wenyewe mwepesi alafu nchi imejaa wakulima na wazembe..
Tukija masuala ya hustling na mambo ya vipato kw upande wa hzi nchi mbili, utakuta kenya ipo mbali sana kw sababu hku hela inatembea sana kona zote..
 
Hakuna haja ya kwenda mbali. Wewe mwenyewe hapo Gongo la Mboto unakunywa maziwa ya kenya
Hivi hizi article huwa mnazitoaga wapi 😂😂😂, kwani nyie mnatuweza kwenye uzalishaji wa maziwa jamani.? 😂😂..
 
Maisha ni rahisi kw sababu uchumi wenu wenyewe mwepesi alafu nchi imejaa wakulima na wazembe..
Tukija masuala ya hustling na mambo ya vipato kw upande wa hzi nchi mbili, utakuta kenya ipo mbali sana kw sababu hku hela inatembea sana kona zote..
Dada komora096 taratibu, umekaribia menopause jitahidi kutumia kichwa kwenye kila jambo, makalio ni kwaajili ya kuketi vizuri tu.
 
Central bank of Tanzania DODOMA branch View attachment 1994288View attachment 1994289CENTRAL BANK OF TANZANIA Mwanza branch View attachment 1994290View attachment 1994291CENTRAL BANK OF TANZANIA Arusha branch View attachment 1994299we jamaa Nicxie njoo hapa ulete ofisi za CENTRAL BANK OF KENYA at least kwenye mikoa mitatu outside NAIROBI .. sio upige kelele tu alafu ground tunawapiga gepu.. NB hayo majengo yote hapo chini hakuna la mkoloni ..
We unasema mikoa mitatu mzee..yani mlijenga juzi kwenu basi mnajikuta mumeanza nyie
 
Maisha ni rahisi kw sababu uchumi wenu wenyewe mwepesi alafu nchi imejaa wakulima na wazembe..
Tukija masuala ya hustling na mambo ya vipato kw upande wa hzi nchi mbili, utakuta kenya ipo mbali sana kw sababu hku hela inatembea sana kona zote..
Yani wewe ndio unavuwezo mdogo sana wa ku reason, heb nenda kabishane na walevi wenzako vijiweni uko.. oya mzee Lwiva usimjibu tena huyu ndondocha (zangu zinaani) 😂😂😂
 
Hivi hizi article huwa mnazitoaga wapi 😂😂😂, kwani nyie mnatuweza kwenye uzalishaji wa maziwa jamani.? 😂😂..
Si mimi nimesema
Tatizo yenu ni kwamba mnapenda ubishi za kijinga. Mnadhani tu life starts and ends in Tanzania. I can give hundreds of articles listing Kenya as one of the leading milk producers in Africa. You should learn to live with facts, sio kila kitu kinafaa ubishi
 
Back
Top Bottom