Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utakenua meno hadi lini bongolala?
Nimekuuliza nilitee brand mwanangu. Wewe unaleta link.
Sisi tunakunywa maziwa haya Gongo la mboto
Milk4.png


uHxYpMcmC11KsqVZNe3eMeM6OTWfQYVx_3JFXjm43MLkm8O_N0xdkOYZJkBiA_z70kVxyvSQwNLmkt9hzXwaLSqLagOLYaUb18YpjXT62fisUg_TtOZ99YY3gZfmQ0NCZQiEDJLLLKcKn80


View attachment 1994465
 
Mfano mzuri ni huyo nairobae, muda wote alikua anapiga kelele akisifia Kenya kwa kuwa na milk ATM na kukashifu Tanzania kwakutokua na hiyo mashine, nimemuonyesha kwamba huku Tanzania tumeamza kuzitumia miaka mingi kabla ya huko Kenya, tena huku kwetu ni mradi mdogomdogo wa wamama wa jua Kali, amefyata mkia Hana la kusema
Milk ATMs zinatengezwa kenya acha uongo wako hapa
 
Hapa tumewapiga hands down.. au una la kusema.?
Naambiwa hii hlitumika anymore. Kwamba shuguli zote zilahmisha Real Towers.

Alafu mbona unataka nikubali wakati hukubali tumewapiga kwenye ofisi za Rais, naibu wa Rais na wizara ya fedha?
 
Back
Top Bottom