Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Biggest, longest, tallest hizi ni issue za primitive people. Watu ambao hawana exposure. Do you know even how Africa is!?
Which countries do you sell your milk!?
How many countries do Africa have!?
Do you know the population of Africa!?

Please answer my question properly I will give you a nice pride.

Ukanda huu Uganda ndio wako Vizuri , then Tanzania.
 
Ni vizuri umeona ju hapo juu ulikua umeropokwa sijui 2013. 😂😂 Kenya zimemaliza more than a decade that's why we make them for your poor country bila ujuzi.
Mzee wa Milk ATM umeona ulivyo mshamba. Go to school, mwambie mama Ngina akupeleke ukasome kidogo.
1635751286507.png
 
@Lwiva amekueleza vizuri Sana, nchi zenye ukabila Kama Ethiopia, Kenya, Rwanda na Burundi, majeshi Yao pia huwa yanakua katika mfumo huo huo, Tigray kwa muda mrefu walikua wapo madarakani kwahiyo jeshi la Ethiopia lilikua limetawaliwa na kabila la Tigray, ndio sababu baada ya kujitenga wanasumbua jeshi la Federal government
Huyu Tony254 awezi kuku elewa kichwa yake ni ndogo sana ,ilikuwa ni rahisi kwa yeye kujiuliza kwa nini eritrea inapiga vita tigray ikishirikiana na ethiopia hapo angepata jibu ya hizo hoja zake zote na kuelewa nini tunacho mwambia .maana tunajua ethiopia na eritrea siyo marafiki sasa inakuwaje wanashirikiana kupiga tigray ? Ndani ya ilo swali kuna majibu kwa tony
 
Oky Kumbe haukuwa wewe, nilipost Central Bank of Tanzania DODOMA branch, mwenzako akapost kisumu, nikapost tena Mwanza branch wewe ukarudia tena Kisumu.. ndio mana nikakwambia hakuna kurudia mradi mmoja while mimi niliweka miradi miwili
Still waiting for your response on the Ministry of Finance headquarters I posted yesterday
 
Nestle has nothing to do with Kenyan products, it’s nestle business .. their business..these are global brands none of them is Kenyan.
FYI, Nido, Milo are manufactured by Nestle South Africa and Nestle Netherlands.
All the infant formula you see are manufactured by Nestle Mexico and Nestle Singapore,
You are so ignorant my friend.
Ndio maana nilishangaa unasema Kenya mna dairy industry kubwa kuliko SA inayolisha bara zima,
Utapigwa na stress ukufe. 😂😂😂😂hakuna factory hapo bongo.
Nestlé Kenya Limited was established in 1967 and the Nairobi factory supplies products to the local market, in addition to exporting to some EAC, COMESA and European markets. Nestlé Kenya Limited has a Head Office, Factory, and Distribution Centre in Pate Road, Industrial Area, Nairobi.
 
Utapigwa na stress ukufe. hakuna factory hapo bongo.
Nestlé Kenya Limited was established in 1967 and the Nairobi factory supplies products to the local market, in addition to exporting to some EAC, COMESA and European markets. Nestlé Kenya Limited has a Head Office, Factory, and Distribution Centre in Pate Road, Industrial Area, Nairobi.

The moment you were bragging of Kenyan dairy products kujaza shelves za Tanzania I though at least you know anything, I thought you were referring to Kenyan things like Brookside ile ya Mama Ngina, I am shocked you are bragging of Nestlé products that aren’t even African products..
Kumbe ni mihemko tu hujui kitu.


none of these brands you see in shelves reads made in Kenya.
 
Nyumba wanamiliki wao wenyewe they are bankable sasa mtu wa rented bedsitter akiingia bank anakuwa kama chokoraa tuu hana base yoyote
Sasa wewe unawezajivunia kumiliki nyumba hapo? Na anayemiliki nyumba hapa atasemaje?
Screenshot_20210601-205217~2.png
Screenshot_20210507-230155~3.png
Screenshot_20210630-200837.png
 
Back
Top Bottom