Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si mimi nimesema
Tatizo yenu ni kwamba mnapenda ubishi za kijinga. Mnadhani tu life starts and ends in Tanzania. I can give hundreds of articles listing Kenya as one of the leading milk producers in Africa. You should learn to live with facts, sio kila kitu kinafaa ubishi
I asked you to mention which brand do you sell to other countries.
Unaanza kutuletea articles from blogs.
 
Si mimi nimesema
Tatizo yenu ni kwamba mnapenda ubishi za kijinga. Mnadhani tu life starts and ends in Tanzania. I can give hundreds of articles listing Kenya as one of the leading milk producers in Africa. You should learn to live with facts, sio kila kitu kinafaa ubishi
Usichokijua kuhusu tz ni kwamba hakuna mtu mwenye time ya ku update taarifa za chochote kile kinachoendelea, na bila hii battle usingekua unajua chochote kuhusu tz yaani mngeendelea kujiongopea kwamba mnatuzidi kila kitu .. that's the reason why kila list mlikua mnawekwa juu yetu.. in tourism for example eti aliyokua ikishika namba kwenye Top tourism destination in Africa ni SA and some other countries, na sector kibao.. but in fact kuna maeneo kibao tunawazidi tena kwa mbali sana
 
Maneno ya mkosaji hayo, nyie kubalini mumezinduka kutoka usingizini.kwn kuna shida gani jamani mkikubali
 
Kama tulivyyowapiga kwa ofisi ya makamu wa Rais, ofisi ya Rais na wiza ya fedha
Ofisi ya makamu wa raisi ndio mmetupiga, ofisi ya Raisi na wizara ya fedha no tupo sawa tena sie majengo yetu mapya yakwenu ya wakoloni.. okay. Ofisi ya Takwimu (statistics) Tz
D9kYj0ZWkAEZHD0.jpg
PMO_3907+%281%29.JPG
cb3b081b518cf4fde87d51ebd070b36c.JPG
 
Usichokijua kuhusu tz ni kwamba hakuna mtu mwenye time ya ku update taarifa za chochote kile kinachoendelea, na bila hii battle usingekua unajua chochote kuhusu tz yaani mngeendelea kujiongopea kwamba mnatuzidi kila kitu .. that's the reason why kila list mlikua mnawekwa juu yetu.. in tourism for example eti aliyokua ikishika namba kwenye Top tourism destination in Africa ni SA and some other countries, na sector kibao.. but in fact kuna maeneo kibao tunawazidi tena kwa mbali sana
Hizi ndio zinaitwa visingizio and Tanzanians are very good at this. Updates zinafanywa na mtu binafsi au mashirika za serikali? Kwa hivyo serikali yenu haijui mandate yake na ni kwa nini ipo madarakani? What's the role of Tanzania Bureau of Statistics? Kwa visingizio hamjambo
 
Hakukuwepo hata hilo shirika la serikali linalo update kitu chochote, tumeanza juzi kutoa hiz taarifa zetu nje ya nchi
 
Ofisi ya makamu wa raisi ndio mmetupiga, ofisi ya Raisi na wizara ya fedha no tupo sawa tena sie majengo yetu mapya yakwenu ya wakoloni.. okay. Ofisi ya Takwimu (statistics) TzView attachment 1994444View attachment 1994445View attachment 1994446
Office of the president ilijengwa na wakenya weusi baada ya uhuru, same as ministry of Finance, so ukisema ni wakoloni sijui unamaanisha nini. But this only confirms Tanzanian's long-held belief that Kenya ilijengwa na wakoloni., a narrative that your government has fed you with. Wake up and smell the coffee my friend. Kenya ilihengwa na wakenya weusi while you still buried your heads in the sand believing in a stupid philosophy called ujamaa

Lastly, utasemaje jengo lenu ya Rais, a two storey building is better than Harambee House? And what about The Treasury? Does it compare to that dwarf building you constructed to replace your old finance ministry house?
 
Staki maneno mengi tuendelee na discussion yetu, weka vitu bro, nimepost ofisi ya taifa ya Takwimu sijaona majibu
 
Hakukuwepo hata hilo shirika la serikali linalo update kitu chochote, tumeanza juzi kutoa hiz taarifa zetu nje ya nchi
So stop blaming your inadequacies on anything. Blame it on your irresponsible government badala ya kukana kila data ya Kenya tunayoleta hapa
 
Hizi ndio zinaitwa visingizio and Tanzanians are very good at this. Updates zinafanywa na mtu binafsi au mashirika za serikali? Kwa hivyo serikali yenu haijui mandate yake na ni kwa nini ipo madarakani? What's the role of Tanzania Bureau of Statistics? Kwa visingizio hamjambo
Mfano mzuri ni huyo nairobae, muda wote alikua anapiga kelele akisifia Kenya kwa kuwa na milk ATM na kukashifu Tanzania kwakutokua na hiyo mashine, nimemuonyesha kwamba huku Tanzania tumeamza kuzitumia miaka mingi kabla ya huko Kenya, tena huku kwetu ni mradi mdogomdogo wa wamama wa jua Kali, amefyata mkia Hana la kusema
 
Nimewaambia hamtengenezi hizo milk ATMs. Munanunua zile ready made kutoka Kenya. Mukaanza kulia sijui mlianza kutumia mbele, mwingine ananiuliza manufacturing ni nini. Yani bongo mzima hakuna mtu anaweza tengeneza a simple milk ATM.
 
Back
Top Bottom