Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona hizi aerials zinaumiza midanganyika. The best 007 njoo utoe povu sasa
2019-06-17 (1).jpg
Screenshot_20210715-004927~2.png
Screenshot_20210713-232959~2.png
Screenshot_20210715-000022~2.png
2948941_FB_IMG_1633019565338.jpg
Screenshot_20210711-012905~2.png
Screenshot_20210630-201121.png
Screenshot_20210630-200813.png
20181122_150526 (1).jpg
Screenshot_20210715-004843~2.png
 
Wewe umewahi kufika Ethiopia ama unaongea tu unayoyaona kwenye TV? Jeshi kamili la Ethiopia ni ENDF hayo mengine ni majeshi ya majimbo.
@Lwiva amekueleza vizuri Sana, nchi zenye ukabila Kama Ethiopia, Kenya, Rwanda na Burundi, majeshi Yao pia huwa yanakua katika mfumo huo huo, Tigray kwa muda mrefu walikua wapo madarakani kwahiyo jeshi la Ethiopia lilikua limetawaliwa na kabila la Tigray, ndio sababu baada ya kujitenga wanasumbua jeshi la Federal government
 
Mwanyamala suburbs ile hua wanacompare na Westlands ju ikona ghorofa tano kando ya barabara.😂😂😂
Vilaza wa mwisho. Ukiwaambia wakuletee picha kando ya hizo vigorofa vitatu hawawezi
 
Mulipewa Loan, wacha kulia. Hata iko kwa website ya Standard Chartered Bank.
How much is that loan, and tell us what is the total cost of that phase?
 
Shida yenu mnapinga kila kitu hadi vitu havifai kupingwa. The article clearly says that your goverment contributed only $700M of which out the said $700M ,$200M was a loan from TDB bank, and the remaining $500M was sales of Eurobonds.


The total cost of our SGR when is complete is $7.6B
 
Mimi bado nataka kujua kwanini munaendesha nchi ndani ya kibanda cha kuku. A whole vice president anaingiaje kwa hili tundu. 🤔 Yani hii ndio ilikua offisi ya Mama akiwa makamu rais.

View attachment 1993631
Hapo kuna Forodhani secondary school,wizara ya maji,jengo la posta na jengo la Toyota Tanzania. Ofisi ya makamu wa Rais ni lipi hapo?
 
Back
Top Bottom