Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hasira ishaanza kupanda sasa.Huwa siongei na Nurses. Nenda kwanza kasaidie wangonjwa ndio uje kuongea na wanaume hapa.
Hasira ishaanza kupanda sasa.Huwa siongei na Nurses. Nenda kwanza kasaidie wangonjwa ndio uje kuongea na wanaume hapa.








Kwani wewe umekatazwa kuweka filter.Unaweka filter na bado naona vumbi.
Yaani Mimi na usomi wangu huu niwe na hasira mbele ya mwanamke.Hasira ishaanza kupanda sasa.
Mibongo hitawai fikia hatua hii hadi yesu arudi.Nairobi kama ulaya
Mtanzania aambie Mkenya aende shule? Maajabu ya Musa. 🤣 🤣Ninaonesh namna ulivyomweupe. Nenda shule mwanangu. Japo uondoe ujinga
🤣🤣🤣
Unaweka filter na bado ni upus. 🚮 🚮 🚮Kwani wewe umekatazwa kuweka filter.
Hiyo imepenya. Sikilizia maumivu mwanangu.
Huu hapa ndio utamu wa Dar.
View attachment 1993830View attachment 1993831View attachment 1993832View attachment 1993833View attachment 1993834View attachment 1993835View attachment 1993836
Yaani huko Kenya wewe ndio unaitwa msomi. Yesu na maria.Mtanzania aambie Mkenya aende shule? Maajabu ya Musa. 🤣 🤣
Hiyo historia unayoongelea ni ya kuletwa kama tu hii yetu ya majengo ya Wazungu unayoibeza - hiyo ni ya majengo ya Waarabu wa Omani. Sasa kabla useme Kenya iko colonized, pia nawe uache kuiga Waarabu ujenge chako
Mzee Ng'ombe wa maziwa wanaovaa mkanda.Unaweka filter na bado ni upus. 🚮 🚮 🚮
Times Tower is 100% occupied by the KRA, kutoka floor ya kwanza hadi ya mwisho. It doesn't have any other tenant apart from the KRA. KRA and Central Bank are one and the same thing, ndio maana hata hizi buildings mbili (Times Tower and Central Bank) zinakaribianaKwahiyo ni central bank au ni office tower.
Yaani Government yote inaenda kushangaa ng'ombe sita waliokondeana ndio unajiita msomi!!?Mtanzania aambie Mkenya aende shule? Maajabu ya Musa. 🤣 🤣
Wakunya Kwa uongo dah!!! Yote kayeleta bwana mapesaMzee unatuletea picha toka kwa waarabu
View attachment 1993704
Got No time for inferiority from a Danganyikan like you.wewe Newcomer zoea kwanza JF ndio uanze kuweka uchafu wako humu
View attachment 1993852
The best 007, hizi ndio picha mmepiga na simu zenu zenye ulikuwa ukisema? 😂 😂 😂
Mwambie tuko na pension houses nyingi hapa Kenya. Nyingine ndio hii hapa pale Loita Street, NairobiNimesema jengo la BOT Pension tower kama sisi tulivyo na CBK Pension Tower nikakuelezea ni department ya CBK ukakana. Sasa nionyeshe hilo la BOT Pension Tower sio tu jumba lolote lililo na jina pension.
Naona unajua historia vizuriKumbe hujui historia, pwani ya Africa mashariki ilikuwa aina ya majengo yake hata kabla ya wageni kuja. Ukiangalia kwa makini majengo ya zamani ya Dar, Tanga na Bagamoyo utaona yana utofauti na yale ya Zanzibar. Yale ya Zanzibar yanafanana na yale ya Omani wakati yale ya bara yanafanana na majengo ya zamani ya himaya za Kilwa na Mwenemutapa.
Wajerumani walipovamia pwani yetu walishangazwa na ujenzi huo wa pwani (kwa jinzi unavyo maintain humidity and temperature, ndani) na kuamua kuiga usanifu huo wa kiafrika. Ndiyo hayo maboma ya wajerumani, yako kila mahali Tanzania nzima.
Majengo waliyojenga wajerumani kwenye makoloni yao mengine kama kule Namibia ni tofauti na yale ya Tanganyika, kule walijenga kutumia usanifu wa kijerumani (Gothic), Dar bado in majengo machache ya kigothic mfano ni kanisa la Azania front. Kama hujui, usanifu huo wa kiswahili unatokana na kuiga usanifu wa siafu (ants) wanapojenga kichuguu (anthill). Jotoridi ndani ya kichuguu huwa halibadiliki sana kulinganisha na joto la nje.



