Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wanamgambo wa Ethiopia wanaoitwa TDF ni hatari fire. Ni moto wa kuotea mbali kabisa. Wao wanaweza kupiga na kumaliza jeshi ya nchi nyingi hapa Africa including hio ya Ethiopia ambayo sasa hivi wameshaimaliza wamebakisha kuizika tu. Leo hii kuna ripoti kwamba wanaingia katika mji mmoja mkubwa wa Amhara region unaoitwa Dessie city. Hii ni baada ya wao kuwafurusha Jeshi la Ethiopia kutoka Tigray. Kisha wakaamua kuingia jimbo za Amhara na Afar kuleta vurugu huko. Wakafurushwa Afar ila wakabaki Amhara region na kwa miezi mitatu wamekuwa wakiteka mji mmoja baada ya mwingine ndani ya Amhara region. Ikumbukwe wanamgambo hawa wanapigwa vita na jeshi ya serikali ya Ethiopia na pia jeshi ya Eritrea. Kisha wanapigwa vita na wanamgambo wa Amhara wanaoitwa Fano militia na jeshi la jimbo la Amhara linaloitwa Amhara special forces. Isitoshe Somalia region special forces kutoka jimbo la Ogaden Ethiopia pia limekuwa likijaribu kuwindana na hawa majamaa. Pia jeshi la Afar special forces limekuwa likiwindana na hawa majamaa. Isitoshe serikali ya Ethiopia inatumia drones na fighter jets na kuwarushia mabomu ila mazombie hawakufi wanazidi kuteka miji baada ya miji huko Amhara. Wanazidi kuwakamata wanajeshi wa Ethiopia kwa mamia na kuchukua video kuonyesha kwamba kweli wamekamata mamia na wakati mwingine maelfu ya wanajeshi wa Ethiopia. Hii yote wakati region ya Tigray ikiwa imezuiwa na serikali ya Ethiopia kupokea chakula cha msaada wala madawa. Watu katika eneo la Tigray wanakufa njaa na pia serikali ya Ethiopia inarusha mabomu huko Tigray licha ya watu tayari kuwa katika hali mbaya. Border ya Tigray na Sudan imefungwa na jeshi la Eritrea ndio linapiga patrol kuhakikisha kwamba wanamgambo hao wa TDF hawawezi kununua silaha wala chakula kutoka Sudan, Licha ya dhiki hii na upinzani mkali kutoka kwa majeshi hayo, hawa TDF bado wanazidi kuteka miji baada ya miji huko Amhara. Ikumbukwe hawa hawa TDF ndio waliomuondoa dikteta wa Ethiopia mamlakani aliyekuwa anaitwa Mengistu Haile Mariam mwaka wa 1991.
 
Dah.! Kmmk naumia sana moyoni,moyo unaniuma sana yule **** wa kisambaa ni mpigaji tu, anaturudisha kulekule. Alaf kinachoniuma zaidi ile wizara aliondolewa mtu makini sana
Time will tell the truth. Hiyo wizara haijawahi kumuacha waziri mbabaishaji na mzembe salama. Huyu marope junior hana uwezo wala sifa wanazombebesha (he is just an empty bucket) hawezi kutoboa ndani ya hii wizara mpaka 2025 labda bi mkora alazimishe tu na inaweza kum-cost 2025. Hii wizara ni mojawapo ya wizara sensitive sana.
 
Nilipoona tuu picha ya kwanza, nikaanza kuwaza hii ni nchi gani? La haula la katwa, nilipoona tuu Aga Khan, nikajua ni ocean road (najua walibadilisha jina)
Dar imebadilika sn mkuu, ona hapa baada ya kuwatoa wamachinga, angalia picha hizi nimepiga mwenyewe leo maeneo ya kisutu
IMG_20211030_081611_440.jpg
IMG_20211030_081605_728.jpg
IMG_20211030_081504_581.jpg
IMG_20211030_081357_807.jpg
IMG_20211030_081349_168.jpg
IMG_20211030_080902_153.jpg
IMG_20211030_080853_290.jpg
 
Dar imebadilika sn mkuu, ona hapa baada ya kuwatoa wamachinga, angalia picha hizi nimepiga mwenyewe leo maeneo ya kisutuView attachment 1992285View attachment 1992286View attachment 1992287View attachment 1992288View attachment 1992289View attachment 1992290View attachment 1992293

Safi sana Mkuu, umeona Pedestrian na Cyclist lane hiyo picha za chini Mwisho hapo?

Na Hiyo ni lumumba street sio tu kwenye BRT lanes.
Wakulungwa wa kaskazini waliweka paving blocks za rangi nyekundu na Nyeusi katikati ya barabara juzi juzi tulikoma
 
Hata kublocku gari kwa mbele wameshindwa

Jamii ya Hovyo sana mkuu, inafuga na kukumbatia uovu, niliona hilo kwa yule mchina alikuwa anajirokodi ananing’iniza simu fake halafu vijana Wa nairobi wakawa wanakuja kwa wingi wakitaka kukwapua na ajabu watu Wanaona ni kawaida tu,
Hizi tabia zao za hivyo huwa wanajisahau wanakujanazo huku tz, kisha wakipelekewa moto wanalalamika sana
 
Safi sana Mkuu, umeona Pedestrian na Cyclist lane hiyo picha za chini Mwisho hapo?

Na Hiyo ni lumumba street sio tu kwenye BRT lanes.
Wakulungwa wa kaskazini waliweka paving blocks za rangi nyekundu na Nyeusi katikati ya barabara juzi juzi tulikoma
 
Safi sana Mkuu, umeona Pedestrian na Cyclist lane hiyo picha za chini Mwisho hapo?

Na Hiyo ni lumumba street sio tu kwenye BRT lanes.
Wakulungwa wa kaskazini waliweka paving blocks za rangi nyekundu na Nyeusi katikati ya barabara juzi juzi tulikoma
Mm nawaomba tu Wakenya waangalie usafi uliopo Dar yn hapo no filter, kitu uhalisia na hapo mvua ilinyesha but no tope wala vumbi kama la Uganda-Kenya
 
hivi ndo tunakunjanga ugali hapa kenya, huku mukituita kunyaland (sababu tuna kula sana), at the same time huku mkidai eti tunakufa njaa.. thats an irony, thats a contrast. see for yourself👇🏽
 
Back
Top Bottom