Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamechemsha kivipi mkuu, hivyo vipo kwenye mpangilio mzuri unaoleta mandhari ya kuvutia, hapo ni lazima pajengwe vibanda temporary km hvyo cz hyo ni fukwe pia ni muhimu kuleta utofauti na beach zingine duniani ili picha ikiwekwa ujue kwamba hapo ni wapi.

Kama ni temporary sawa ila kama Hivyo ndio ile project ya koko bichi aah tumechemshaa
 
Mm nawaomba tu Wakenya waangalie usafi uliopo Dar yn hapo no filter, kitu uhalisia na hapo mvua ilinyesha but no tope wala vumbi kama la Uganda-Kenya
Mbona mimi naona vumbi na tope.............hehehe. Udongo wa Dar ni Grey kama wa Mombasa. Udongo wa Nairobi, Kampala na Kigali ni mwekundu. Udongo wa grey hufanana na rangi ya barabara, sasa hapo mimi naona udongo tupu unapaita pasafi. Cheki street safi vile zinakaa buda boss. Hehehe. NDINDA anaumia. 🤣 🤣

 
Hawa wanamgambo wa Ethiopia wanaoitwa TDF ni hatari fire. Ni moto wa kuotea mbali kabisa. Wao wanaweza kupiga na kumaliza jeshi ya nchi nyingi hapa Africa including hio ya Ethiopia ambayo sasa hivi wameshaimaliza wamebakisha kuizika tu. Leo hii kuna ripoti kwamba wanaingia katika mji mmoja mkubwa wa Amhara region unaoitwa Dessie city. Hii ni baada ya wao kuwafurusha Jeshi la Ethiopia kutoka Tigray. Kisha wakaamua kuingia jimbo za Amhara na Afar kuleta vurugu huko. Wakafurushwa Afar ila wakabaki Amhara region na kwa miezi mitatu wamekuwa wakiteka mji mmoja baada ya mwingine ndani ya Amhara region. Ikumbukwe wanamgambo hawa wanapigwa vita na jeshi ya serikali ya Ethiopia na pia jeshi ya Eritrea. Kisha wanapigwa vita na wanamgambo wa Amhara wanaoitwa Fano militia na jeshi la jimbo la Amhara linaloitwa Amhara special forces. Isitoshe Somalia region special forces kutoka jimbo la Ogaden Ethiopia pia limekuwa likijaribu kuwindana na hawa majamaa. Pia jeshi la Afar special forces limekuwa likiwindana na hawa majamaa. Isitoshe serikali ya Ethiopia inatumia drones na fighter jets na kuwarushia mabomu ila mazombie hawakufi wanazidi kuteka miji baada ya miji huko Amhara. Wanazidi kuwakamata wanajeshi wa Ethiopia kwa mamia na kuchukua video kuonyesha kwamba kweli wamekamata mamia na wakati mwingine maelfu ya wanajeshi wa Ethiopia. Hii yote wakati region ya Tigray ikiwa imezuiwa na serikali ya Ethiopia kupokea chakula cha msaada wala madawa. Watu katika eneo la Tigray wanakufa njaa na pia serikali ya Ethiopia inarusha mabomu huko Tigray licha ya watu tayari kuwa katika hali mbaya. Border ya Tigray na Sudan imefungwa na jeshi la Eritrea ndio linapiga patrol kuhakikisha kwamba wanamgambo hao wa TDF hawawezi kununua silaha wala chakula kutoka Sudan, Licha ya dhiki hii na upinzani mkali kutoka kwa majeshi hayo, hawa TDF bado wanazidi kuteka miji baada ya miji huko Amhara. Ikumbukwe hawa hawa TDF ndio waliomuondoa dikteta wa Ethiopia mamlakani aliyekuwa anaitwa Mengistu Haile Mariam mwaka wa 1991.

Ethiopiawana jeshi dhaifu kama Afghanistan
 
Kama Ulaya, ila wakuu Yanga hii kiboko sana
Screenshot_20211030-203859.jpg
 
Back
Top Bottom