Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So ipo Kenya au? Basi lete na yenu private ili tuone kama mnawezana
USIU University Library. NDINDA usitoe machozi

1.jpg
1.jpg
 
I understand your cognitive disorders, but Hiyo library yako ya UK sijui KU haiwezi hata fikia level ya UDOM collège of education
Why can't you post it so that we can all see that UDOM nonsense.
 
Ethiopiawana jeshi dhaifu kama Afghanistan
Cha kushangaza jeshi lao lilikuwa ranked nambari tatu Africa kumbe ni tambara bovu tu. Officers wengi kwenye jeshi hilo walikuwa Wanatokea kabila la Tigray ila vita vilipoanza wakagura na kujiunga na TDF na kuiwacha ENDF ikiwa na inexprienced officers.
 
TDF siyo wanamgambo ni jeshi kamili liliongoza ethiopia kwa miaka 30.
Nimetumia jina hilo kuwatofautisha na jeshi la serikali la Ethiopia ENDF. Wacha kuleta pingamizi ndogo ndogo. Historia ya Ethiopia ninaijua mbele nyuma. Sidhani kama kuna mengi kuhusu Ethiopia unaweza kunifunza.
 
The Africa's largest University Library.

The University of Dar es Salaam new library.

The University of Dar es Salaam new library now holds the record of being The Largest African University Library.
 
TDF siyo wanamgambo ni jeshi kamili liliongoza ethiopia kwa miaka 30.
Halafu TPLF ndio iliongoza Ethiopia kwa miaka 30 na ni party sio jeshi. TPLF na TDF ni vitu viwili tofauti. Moja ni chama cha siasa na nyingine ni jeshi.
 
I understand your cognitive disorders, but Hiyo library yako ya UK sijui KU haiwezi hata fikia level ya UDOM collège of education
Ondoa uchafu wa CONDOM university. Ndio hio MKU Thika na ni private university.
images-10.jpg
 

Attachments

  • images-10.jpg
    images-10.jpg
    16.6 KB · Views: 5
Back
Top Bottom