The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Umesahau Garbages na flying toilets.kuna vitu kenya viko common sana, yan mpka hatushangai vikitokea.. zimekuwa identity yao
-ghorofa kuporomoka
-chopa kuanguka
-kutokea kwa baa la njaa
-uwepo wa slums
-corruption scandals
-wizi na uporaji kutokea hadharan mchana kweupe
