naona hapa hakuna anaye kujibu.We are only six buildings shy of doubling their total count of 25 buildings 😂 😂 😂
naona hapa hakuna anaye kujibu.We are only six buildings shy of doubling their total count of 25 buildings 😂 😂 😂
Hakuna mwanamke mzuri kama wa kitanzania asikuambie MTU🙂🙂🙂🙂🙂Huyu mtoto kwani ame like leo? Hii avatar ni tamu sana, sorry miss zuwena ila nimefanya ku imagine maneno ya bwana babayao255View attachment 1991146
Watoe nguvu wapi ya kunijibu?naona hapa hakuna anaye kujibu.
Watoe nguvu wapi ya kunijibu?naona hapa hakuna anaye kujibu.
kuna kitu kinaitwa scheduled maintenance.. kwamba unapofanyia maintenance engine moja.. bas unaruhusu engine nyingine ifanye kazi ili umeme iwepo.. Kinyerezi 1 kuna engines/turbines 4.. ndan ya mwez mmoja zote zinafanyiwa maintenance ila mbili zinafanyiwa maintenance ndan ya wiki mbili (siku za weekends).. nyingine wiki mbili zilizobaki (siku za weekends).. engines mbili zinapofanyiwa maintenance, mbili nyingine zinafanya kazi kufua umeme..zitafanyiwa maintenance wiki zinazokuja.. sasa huyu jamaa anaposema hatufanyi maintenance katuvunja mioyo sana.. imefika mahal wanaomba aondolewe analeta ujuaji na siasa kwenye mambo muhimu .. hamna kitu.. ni bure kbsa.. ningeonyesha screeenshot watu/managers/engineers wa Tanesco wanavyomsema kwenye grup whatsapp ila sababu za privacy wacha nisitoe
Huyu jamaa ni kilaza sana, yupo pale kupiga dili tuu, ona anavyozurura, mara Saudia, mara Algeria. Anaenda nchi za OPEC wakati sera ya nishati Tanzania ilikuwa kupunguza utegemezi wa mafuta ya nje. Ndiyo sababu ya kuwa na treni ya umeme na bwawa la Nyerere.kuna kitu kinaitwa scheduled maintenance.. kwamba unapofanyia maintenance engine moja.. bas unaruhusu engine nyingine ifanye kazi ili umeme iwepo.. Kinyerezi 1 kuna engines/turbines 4.. ndan ya mwez mmoja zote zinafanyiwa maintenance ila mbili zinafanyiwa maintenance ndan ya wiki mbili (siku za weekends).. nyingine wiki mbili zilizobaki (siku za weekends).. engines mbili zinapofanyiwa maintenance, mbili nyingine zinafanya kazi kufua umeme..zitafanyiwa maintenance wiki zinazokuja.. sasa huyu jamaa anaposema hatufanyi maintenance katuvunja mioyo sana.. imefika mahal wanaomba aondolewe analeta ujuaji na siasa kwenye mambo muhimu .. hamna kitu.. ni bure kbsa.. ningeonyesha screeenshot watu/managers/engineers wa Tanesco wanavyomsema kwenye grup whatsapp ila sababu za privacy wacha nisitoe
Dah.! Kmmk naumia sana moyoni,moyo unaniuma sana yule **** wa kisambaa ni mpigaji tu, anaturudisha kulekule. Alaf kinachoniuma zaidi ile wizara aliondolewa mtu makini sanaHuyu jamaa ni kilaza sana, yupo pale kupiga dili tuu, ona anavyozurula, mara Saudia, mara Algeria. Anaenda nchi za OPEC wakati sera ya nishati Tanzania ilikuwa kupunguza utegemezi wa mafuta ya nje. Ndiyo sababu ya kuwa na treni ya umeme na bwawa la Nyerere.
Sasa yeye badala ya kutafuta njia mbadala za nishati, kuangali jinsi ya kutumia rasilimali zetu kama madini ya lithium kutenegenza betri, Tanesco wanaweza kuuza tesla wanavyouza powerwall, anatuanarudi kule kule kwa awamu ya nne, kuongeza makelele ya majenerata mitaani. Mama samia sijui nani anamshauri...
Si hawa Umbwa walidai eti Ethiopia wameomba huo uwanja🤗😃😃😃😃😃Mkenya na quality nikama maji na mafuta.
Huyu jamaa ni kilaza sana, yupo pale kupiga dili tuu, ona anavyozurura, mara Saudia, mara Algeria. Anaenda nchi za OPEC wakati sera ya nishati Tanzania ilikuwa kupunguza utegemezi wa mafuta ya nje. Ndiyo sababu ya kuwa na treni ya umeme na bwawa la Nyerere.
Sasa yeye badala ya kutafuta njia mbadala za nishati, kuangali jinsi ya kutumia rasilimali zetu kama madini ya lithium kutenegenza betri. Tanesco wanaweza kutengeneza na kuuza powerwalls kama zile za tesla. Soko ni kubwa sana A.E na SADC wangetumia hayo madude, yeye anatudisha kule kule kwa awamu ya nne, kuongeza makelele ya majenerata mitaani. Mama samia sijui nani anamshauri...
Mkenya sio MTU wa kumuamini ,asilimia kubwa wanapenda sifa za kijinga,na fake life angalia platform nyingi utajionea mwenyewe 🙂Si hawa Umbwa walidai eti Ethiopia wameomba huo uwanja🤗
Hii ni ushahidi jinsi Wakenya walivyo waongo mno🤦♂️🤦♂️
Mimi huyu jamaa nimekuwa nikipinga sana hapa asirudishwe kwenye uwaziri. Walipomrudisha tuu nikazidi kuamini kuwa wote hawa walikuwa timu moja.Mwenzake alikua anatembelea miradi kuangalia inaendaje ye kutwa kutembelea nchi za watu nilikua nmerudisha imani kwake lakini nishamuona mzurulaji tuu yule
Hiyo shape ya Tanzania linafanana na shape ya ancient man, Homo sapienand why is tanzania realy reffered to as 'bongo', is it because you need to use brains to survive in tht country, and especially in dar, or is it because, the shape of tz map looks like a humanhead (man), and hence 'brains'... this question needs an answer i beg View attachment 1991419
utafte wimbo wa professor jay "bongo daresalamand why is tanzania realy reffered to as 'bongo', is it because you need to use brains to survive in tht country, and especially in dar, or is it because, the shape of tz map looks like a humanhead (man), and hence 'brains'... this question needs an answer i beg View attachment 1991419
sasa majadiliano ya miradi ya LNG inafanyika ukizungukia miradi ya nyumbani bila kukaribisha wawekezaji?Mimi huyu jamaa nimekuwa nikipinga sana hapa asirudishwe kwenye uwaziri. Walipomrudisha tuu nikazidi kuamini kuwa wote hawa walikuwa timu moja.