game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,333
Yani kweupee mtu anaibiwa hivyo daah
Halafu watu wanaangalia tu hawana time hata ya judaïsai, ingekuwa bongo hao jamaa wangevikwa matairi chap
Yani kweupee mtu anaibiwa hivyo daah
Hapa mafundi wako speed kinomaView attachment 1992041View attachment 1992045more
oya wewe DSM itasumbua sanaView attachment 1992051View attachment 1992061any time soon tegemea uzinduzi wa hili daraja
View attachment 1992068

Hapa mafundi wako speed kinomaView attachment 1992041View attachment 1992045more
oya wewe DSM itasumbua sanaView attachment 1992051View attachment 1992061any time soon tegemea uzinduzi wa hili daraja
View attachment 1992068
Sasa hivi baada ya magufuli kufariki mnaweza kutupiga bao maana magu alisababisha serikali ya kenya kuamka ili kukimbizana naye kama brt ,sgr ya umeme ,baada ya kuona inapoteza mambo mengi kwa tz mpaka bomba la mafuta ya uganda kupitia tz badala ya kenya na yule COW wa sgr kufa ,kwa sasa tz hatuna Raisi labda 2025Youths on Friday took part in the beautification of Nairobi streets through art and symbols near the Kenya National Archives.View attachment 1991624View attachment 1991625View attachment 1991626View attachment 1991627View attachment 1991628View attachment 1991629
sasa majadiliano ya miradi ya LNG inafanyika ukizungukia miradi ya nyumbani bila kukaribisha wawekezaji?


Hatuna Raisi ni uchafu tuHuu ujinga wa kuteuana ili kulipana fadhila unaligharimu hili taifa sana.
Unaacha kuteua wataalam unateua makada!
Na hapo jinsi palivyo ndivyo pako hivyo hivyo hakuna filter hapo, panafariji mnoo, waafrika tupambane miji yetu ipendeze, kwanza inaongeza siku za kuishi.Hapa mafundi wako speed kinomaView attachment 1992041View attachment 1992045more
oya wewe DSM itasumbua sanaView attachment 1992051View attachment 1992061any time soon tegemea uzinduzi wa hili daraja
View attachment 1992068
Mm nilishaongea humu tangu last week but kuna jamaa akanivamia na comment ya kunituhumu naendekeza legacy, alisema mafundi wapo wanachapa kazi.Wataalam naomba kuuliza, nimepita pale kwenye flyover ya Chang'ombe km nusu saa iliyopita hakuna ht fundi mmoja site, any idea nn kinaendelea pale?
any positive information would be very helpful.
Pole sana..Legacy ina uhusiano gani na mafundi kuwepo site?nimeshangaa sana hakuna ht Fundi mmoja wala vifaa vya kazi..Mm nilishaongea humu tangu last week but kuna jamaa akanivamia na comment ya kunituhumu naendekeza legacy, alisema mafundi wapo wanachapa kazi.
Ndiyo hivyo tena mkuu, ngj tusubiri tuone lkn kwa upande wangu naona speed ya miradi mingi imepungua kwa kiasi kikubwa cjajua JNHPP.Pole sana..Legacy ina uhusiano gani na mafundi kuwepo site?nimeshangaa sana hakuna ht Fundi mmoja wala vifaa vya kazi..
Its so sad kwakweli..Ndiyo hivyo tena mkuu, ngj tusubiri tuone lkn kwa upande wangu naona speed ya miradi mingi imepungua kwa kiasi kikubwa cjajua JNHPP.
Kitu kipi kaka blaza?Na ndiyo ramani ya Afrika iko hivyo, unajua nchi nyingi zilizobarikiwa na Mungu zina ramani zenye shape ya kueleweka, btw leo nmepata kitu kipya from you, ckuwa najua hili jambo.
Niliipenda sana hii movie Rango
Kinywa kinakana lakini moyo inatamaniAiseee vichaka mtindo mmoja![]()
Hii nchi inafaa iwe na Rais anayeweza kununuwa ugomvi la cvyo haiendi cz kuna watu walishaamini kwamba kupiga ni haki yao.Its so sad kwakweli..
Na contractor kadinda kubomoa kama alivyoelekezwa!Pole sana..Legacy ina uhusiano gani na mafundi kuwepo site?nimeshangaa sana hakuna ht Fundi mmoja wala vifaa vya kazi..
Kwahiyo kaambiwa abomoe yote?Na contractor kadinda kubomoa kama alivyoelekezwa!