Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Advertisement screen kwenye majengo bongo pia zipo we zezeta 👇View attachment 1990955vs hiyo yenu yenye inakaa ushagoo👇View attachment 1990960mimi huwa siongeagi uongo we ma***ko. Njoo Don YF ucheke tena
sasa wewe dogo kilaza punguani mimi na advertisement screens tunapatana wapi aise? why quote me unnecessarily kilaza? kweli nimekutesa na bado nitaendelea hadi onyooke, itabidi sasa ujinyonge tu, hadi unani quote in what isn't my post.., idiot, u are sooo desperate to the point ya kutoa matusi 😂 😂 , wewe ni mjinga kweli, lifukara lishamba lya Dar-Kabul-Salaam, hadi raha 😂 😂 😂 😂 😂

Nimekufinya kabisa, sasa umeishiwa pumzi 😂 😂 😂 😂 😂
1635583210355.jpeg
 
Nilishamalizana na hii fake list kijana wangu, tulishafunga mjadala
Kakwepa, alipata pakutokea 😂 😂 😂, lishamba linasema eti "tulishafunga mjadala", nyoko wewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
unafinywa kila wakati, linyonge kweli 😂 😂 😂 😂
1635584012239.jpeg
 
Unataka kushindana Na ndovu kunya bradhee?🤣🤣🤣

NDOVU NI KUU


Hehehe, mbona hukuniquote mimi mwenye niliweka list, maanake nimeona ukikana mbili ambazo nimeprove ziko over 20. 🤣 🤣
Ndio hii updated list, niambie gani haifiki 20 floors?

1. GTC Office tower - 43 floors
2. GTC Hotel - 35 floors
3. Prism Tower - 34 floors
4. UAP Tower - 33 floor
5. GTC Apartments 1 - 33 floors
6. Britam Tower - 31 floors
8. GTC Apartments 2 - 31 floors
9. GTC Apartments 3 - 31 floors
10. CBK Pension Tower 1 - 30 floors
11. GTC Apartments 4 - 29 floors
12. KICC - 28 Floors
13. Social Security House (NSSF) - 28 floors
14. Teleposta Tower - 27 floors
15. CBK Pension Tower 2 - 27 floors
16. Upper Hill Chambers - 26 floors
17. Nyayo House - 27 floors
18. Anniversary Tower - 27 floors
19. LeMac Building - 25 floors
20. 4th Ngong Avenue Tower - 23 floors
21. KCB Tower - 23 floors
22. Ambank House - 22 floors
23. Lonrho House - 22 floors
24. University of Nairobi Tower - 22 floors
25. Co-op House - 25 floors
26. Movenpick Hotel - 21 floors
27. Uchumi House - 21 floors
28. Re-Insurance Plaza - 21 floors
29. Delta Corner 1 - 21 floors
30. Delta Corner 2 - 21 floors
31. National Bank House - 20 floors
32. Viewpark Tower - 20 floors
33. Kings Distinction - 20 floors
34. Parliament Tower - 25 floors
35. The Marquis A - 21 floors
36. The Marquis B - 21 floors
37. FCB Mirhab Tower - 25 floors
38. One Place Africa Tower - 20 floors
39. Times Tower 33 floors
40. MJ1 Tower - 20 floors
41. Dunhill Tower 20 floors
42. Postbank Building - 20 floors
43. Afya Center - 21 floors
44. Demeure Cloud Nine (Kilimani) - 21 floors
Imetosha bro., let the idiot be 😂 😂 😂 😂
 
Huyo anataka kuwaaminisha watanzania kwamba marehemu alifeli lkn shida inakuja, je lengo la TANESCO ni kuhakikisha umeme unawaka au kufanya maintenance!? Kama lengo ni kuhakikisha umeme unawaka basi marehemu alijitahidi sana mana hakukuwa na kukatika katika kwa umeme licha ya kwamba kulikuwa hakuna maintenance kama yeye anavyojinasibu kusema.

Haya ndio matatizo ya baba akiwa dokta basi lazima mtoto naye awe dokta, na ndiyo maana huwa naamini kwamba kiongozi bora huwa anazaliwa na wala hatengenezwi japo kutengeneza huwa mara chache inasaidia. Huyo hakufaa kuwa kiongozi japo babaake anapambana iwe hivyo.
Chief, maintenance ilikua inafanyika sema kipindi cha Magu walikua makini, umeme ulikatwa na kurudi ndani ya dakika 10 hadi 20 sema walifanya usiku wa manane ambapo watu wengi walikua wamelala na hata kuna kipindi nlienda bukoba nkanotice the same thing mida ya saa nane au tisa. Ila this time wanaweza kukata siku nzima au hata kama ni usiku inaweza kuchukua saa zima au mawili. Just imagine hiyo ni mbezi beach, sasa mburahati itakuaje?
 
Wataalam naomba kuuliza, nimepita pale kwenye flyover ya Chang'ombe km nusu saa iliyopita hakuna ht fundi mmoja site, any idea nn kinaendelea pale?
any positive information would be very helpful.
 
Huyo anataka kuwaaminisha watanzania kwamba marehemu alifeli lkn shida inakuja, je lengo la TANESCO ni kuhakikisha umeme unawaka au kufanya maintenance!? Kama lengo ni kuhakikisha umeme unawaka basi marehemu alijitahidi sana mana hakukuwa na kukatika katika kwa umeme licha ya kwamba kulikuwa hakuna maintenance kama yeye anavyojinasibu kusema.

Haya ndio matatizo ya baba akiwa dokta basi lazima mtoto naye awe dokta, na ndiyo maana huwa naamini kwamba kiongozi bora huwa anazaliwa na wala hatengenezwi japo kutengeneza huwa mara chache inasaidia. Huyo hakufaa kuwa kiongozi japo babaake anapambana iwe hivyo.
Hiyo mtu ni takataka eti ndiyo wapumbaavu wanataka agombee uraisi
 
Back
Top Bottom