The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Europe, no vumbi 

Wauwane tu sababu walifurahia kifo cha JPM
Licha ya kovidi kuja duniani mabeberu walikili kwa kusema tz na Ethiopia ndiyo nchi pekee africa uchumi wake haukuanguka ,pia mabeberu walitutoa kwenye kundi la uchumi wa chini kabisa baada ya magu kushika nchi sasa wewe unasemaje tulikosa fedha lini magu kakopa kwa ajili ya kulipa deni kama kenya![]()
![]()
![]()
miradi yenu ilianza kujikokota mkulu alivyo kuwa hai., pesa zilimuishia na alikua amewadanganya na "kwa pesa za ndani" narrative, ilibidi a gag your media and independent research bodies ili ku control information asije aka aibika., pia uchumi wenu ni hafifu sana, meagre revenue na mahitaji ni mengi mno, hakuna yule anaye zuia miradi kuendelea, ma flyovers u/c yamesimama, hakuna wafanyi kazi., jiulize ni kwa nini? fedha zimeisha, usimsingizie mama wewe., Uhuru Kenyatta as far as I don't like him he has a team of technocrats, with professionals in relevant disciplines called; "presidential delivery unit"., who ensures delivery of president Kenyatta's promised projects, and development in line with vision 2030.., nyie walikua mashabiki tu..,
Expressway haijajengwa sababu hakuna construction boardhii ndio picha uliopost kama sikosei
mm nakwambia nikiwa nauhakika nachoongea buda View attachment 1990528

Alooo

Unasumbuka na ya nairobi wakati hali ni tete kwenu, vumbi kila mahali
🙂🙂🙂🙂Kasema kweli
Ukisikia mama ana "unyamba mwingi" ndiyo hiyohii comment imezua mijadala sana TANESCO nzima..
watu wanasema huyu jamaa hana mda kwenye hii wizara ..
TANESCO kila mwezi wanafanya maintenance ila jamaa anasema walikuwa hawafanyi
comment yangu; jamaa anajidai na anaona anajua sana mambo
miaka 10 ya JK, maintenance zilikuwa zinafanyika ila bado kulikuwa na mgao mkubwa wa umeme
miaka 5 ya JPM, maintenance zilikuwa zinafanyika pia ila kulikuwa hakuna kukatika umeme.. hapa Jamaa anamaanisha mitambo zilisubiri/zilivumilia miaka 5 ipite (bila maintenance) ili zilete shida zilizopo saiz na ili yeye ndo afanye maintenance pia???
hii comment imezua mijadala sana TANESCO nzima..

nlifikiri maintenance ni daily routine....
anajisahau sana huyu
Advertisement screen kwenye majengo bongo pia zipo we zezeta 👇Ongea na picha wacha porojo za kamisi.