Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alooo
View attachment 1990901View attachment 1990902View attachment 1990903
Can you even compare that Kahawa West picture to these dreamhouses?
Unaweza kuniambia hapa ni wapi? [emoji116][emoji116]
Screenshot_20211029-185404.jpg
 
hii comment imezua mijadala sana TANESCO nzima..
watu wanasema huyu jamaa hana mda kwenye hii wizara ..
TANESCO kila mwezi wanafanya maintenance ila jamaa anasema walikuwa hawafanyi [emoji46]
comment yangu; jamaa anajidai na anaona anajua sana mambo [emoji2363]


miaka 10 ya JK, maintenance zilikuwa zinafanyika ila bado kulikuwa na mgao mkubwa wa umeme
miaka 5 ya JPM, maintenance zilikuwa zinafanyika pia ila kulikuwa hakuna kukatika umeme.. hapa Jamaa anamaanisha mitambo zilisubiri/zilivumilia miaka 5 ipite (bila maintenance) ili zilete shida zilizopo saiz na ili yeye ndo afanye maintenance pia???
Huyo ni bogus, tena lile Boga la njano.
 
Nick Mwendwa is the worst thing to ever happen to Kenyan football. This guy is a total joke. Kazi ni kubana sauti kama mbuzi aliyenaswa na chatu
Kwahiyo unatulilia sisi tufanyeje, tupake mate au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida ni kutaka kucritisize marehemu . Huu sijui utanzania wa wapi? Kila mwanadamu ana mapungufu yake sio busara kumuhukumu mtu haswa anapokua ametangulia mbele za haki.
Huyo anataka kuwaaminisha watanzania kwamba marehemu alifeli lkn shida inakuja, je lengo la TANESCO ni kuhakikisha umeme unawaka au kufanya maintenance!? Kama lengo ni kuhakikisha umeme unawaka basi marehemu alijitahidi sana mana hakukuwa na kukatika katika kwa umeme licha ya kwamba kulikuwa hakuna maintenance kama yeye anavyojinasibu kusema.

Haya ndio matatizo ya baba akiwa dokta basi lazima mtoto naye awe dokta, na ndiyo maana huwa naamini kwamba kiongozi bora huwa anazaliwa na wala hatengenezwi japo kutengeneza huwa mara chache inasaidia. Huyo hakufaa kuwa kiongozi japo babaake anapambana iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom