Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umelalamika nikaleta source nyingine 😂😂😂😂 bado umepanic tu nimekwambia hata mm naeza join sahivi nikafungua thread nikaandika hata kenya iko mbele kuliko america najua hutashangaa😁😁😁😁
Kwa hivyo sasa huamini ukweli wowote kuhusu habari inayopatikana ndani ya website unayoleta to prove your points?! All of a sudden wamekuwa waongo ila hapo mbeleni walikuwa wakweli! Wewe boya tu
 
Kijana, ni wazi kuwa kushindwa ndio hampendi.

Nimekutolea hizo buildings that you are disputing nikufurahishe na bado tunawashinda by far:

1. GTC Office tower - 43 floors
2. GTC Hotel - 35 floors
3. Prism Tower - 34 floors
4. UAP Tower - 33 floor
5. GTC Apartments 1 - 33 floors
6. Times Tower - 33 towers
7. Britam Tower - 31 floors
8. GTC Apartments 2 - 31 floors
9. GTC Apartments 3 - 31 floors
10. CBK Pension Tower 1 - 30 floors
11. GTC Apartments 4 - 29 floors
12. KICC - 28 Floors
13. Social Security House (NSSF) - 28 floors
14. Teleposta Tower - 27 floors
15. CBK Pension Tower 2 - 27 floors
16. Upper Hill Chambers - 26 floors
17. Nyayo House - 27 floors
18. Anniversary Tower - 27 floors
19. LeMac Building - 25 floors
20. 4th Ngong Avenue Tower - 23 floors
21. KCB Tower - 23 floors
22. Ambank House - 22 floors
23. Lonrho House - 22 floors
24. University of Nairobi Tower - 22 floors
25. Co-op Bank House - 25 floors
26. Uchumi House - 21 floors
27. Afya Centre - 21 floors
28. National Bank House - 20 floors
29. Hilton Hotel - 20 floors
30. Postbank House - 20 floors
31. Viewpark Tower - 20 floors
32. Kings Distinction - 20 floors
33. Parliament Tower - 25 floors
34. The Marquis A - 21 floors
35. The Marquis B - 21 floors
36. FCB Mirhab Tower - 25 floors
37. One Africa Place - 21 floors
38. MJ1 Tower - 20 floors
39. Dunhill towers 20 floors
40. Reinsurance Plaza - 20 floors

40-25=15 😂 😂

Toa tena zingine kumi zibaki 30 na bado tutakuwa tu mbele yenu. Alafu hizo buildings za kariakor unazosema ni zipi if you can't list them. Ama hizo pia ni kama zile recreational parks zenu that exist ila hayana majina? 😂 😂
Naona unajifurahisha, me nilishamakiza kazi yangu.. pole sana
 
Kwa hivyo sasa huamini ukweli wowote kuhusu habari inayopatikana ndani ya website unayoleta to prove your points?! All of a sudden wamekuwa waongo ila hapo mbeleni walikuwa wakweli! Wewe boya tu
Hyo jamaa kw kujikanganya hajambo,
 
List of tallest buildings in DSM (Over 20 floors)
1.TPA tower - 40 floors
2.PPF tower-37 floors
3.PSPF tower1 -35 floors
4.PSPF tower2 -35 floors
5.Mzizima tower 1 -35 floors
6.Mzizimatower 2 -33 floors
7.MNF tower 1 -30 floors
8.Rita tower 30 floors
9.MNF tower 2 - 30 floors
10. Melenium tower -27 floors
11. Uhuru height -27 floors
12. Umoja wa vijana tower -25 floors
13. PSPF Golden jubelee 24 floors
14. Sky tower -22 floors
15. Quality boulevard -22 floors
16. Viva tower -21 floors
17. Benjamin Mkapa tower -21 floors
18,NSSF mafao house -20 floors
19. Ushirika tower 20 floors
20. BOT tower 1 -20 floors
21. BOT tower 2 -20 floors
22.NHC building plot 927/19 -20 floors
23. City plaza -22 floors
24. Morocco square -20 floors
25. Treasure Victoria apartments -20 floors

Hajaibiwa mtu hapa hii ni list bila udanganyifu, unlike you kenyans wazee wa uongo mtupu.. 28-25=3 kama mtakua mko mbele yetu kwa majengo ya over 20 floors basi ni majengo matatu tu .. u ar here claiming ati ooh DSM haijengi tena magorofa while nyie mnaojenga hamna cha maana kinaonekana.. and you know what gorofa zote zilizotajwa hapo kwenye list Kariakoo imewakilishwa na gorofa moja tu (ushirika tower) .. jifikirieni tena manzee
Chief umesahau gorofa za kariakoo, kuna 20+ zaidi ya 10 shida siyajui majina yao
 
Naona unajifurahisha, me nilishamakiza kazi yangu.. pole sana
Ulimaliza kazi kwa kuleta 25 buildings mimi nikaleta 40 buildings. That's 15 buildings more in favor of Nairobi. Sasa nani amemaliza kazi kati yangu na wewe?
 
Wadau, tunaambiwa hapa kariakoo kuna majumba mengi sana za above 20 floors zinawezafika 500. Ukiwaambie wazilete kwa majina hawajibu
images (55).jpeg
images (54).jpeg
images (53).jpeg
 
Read
Read to understand not read to reply. Ebu tuonyeshe which part of Dar city center is popular with outdoor advertising billboards with neon light display kama Times Square NYC, Piccadilly Circus London, Shibuya crossing Tokyo or Dundas square Toronto?
Hahahaha 😂😂😂 acha kutaja huo uchafu wenu kwenye sentensi moja na vitu vikubwa duniani mbuzi wewe,ni dharau, let's tena ile picha nikuonyeshe kitu
 
View attachment 1990256 US is to LA, as SA is to Cape town, as Brazil is to Rio, as Spain is to Barcelona, as Egypt is to Alexandria, as Australia is to Melbourn, as England is to Machester, as Germany is to Frankfurt, as Kenya is to Mombasa, as Tz is to Shinyanga/Mtwara/Sumbawanga/Arusha/Dom/Mwanza, as Malawi is to Blantyre, as Zimbabwe is to Bulawayo, as Zambia is to Ndola, as Somalia is to Kismayu, as DR Congo is to Lubumbashi

What are you trying to say!!?
 
Back
Top Bottom