Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Karibu ya Muhimbili kuna BRT buses, yn mgonjwa ukitoka hospitali hupati tabu unaingia ndani ya BRT huyoo home
IMG_20211028_151014_387.jpg
IMG_20211028_144013_725.jpg
 
Attachments

  • IMG_20211028_144006_224.jpg
    IMG_20211028_144006_224.jpg
    58.9 KB · Views: 10
Duu The best 007, umeongea maneno kwa hisia kali sana kk
Ndiyo nawaambia waja wajue ukweli kwamba ukimgusa Magu umenigusa mm kwasababu jamaa ameshakufa hawezi kujitetea, ss watetezi wake ni sisi, yn mm nataka cku nikifa na nikakutana na Magu aseme kwamba kijana wangu ulijaribu. Yn mm huwa naumia sana mtu akimponda Magufuli.
 
Daa mkuu yaani wee acha tuu asee, mimi Magu nilianza kumuita "my president" tangu yupo waziri enzi hizo 2011 nikaweka picha lake facebook asee, yaani huyu mzee alijitoa kweli kweli jamani. Kumtusi ambae kishalala haipendezi kabisa kwa desturi zetu
 
Isomeni hyo
Katika kitu Magu alichofanya vizuri sana kwa nchi yetu na tutamshukuru sana ni kubadilisha Sheria ya madini ..hii mpya ya 2018 ina benefit waTanzania ..kama Sheria itafatwa ..View attachment 1989958View attachment 1989959
kabisa
 
Kwahiyo humu ndani naomba ifahamike kabisa kwamba sijawahi kuona alichokosea Magu ndani ya misimamo yangu, so naomba ulinzi humu ndani, ukiona nakuvamia uwe mTz au mkunya kwasababu ya Magu nisamehe sn kwasababu unavyotafsiri wewe kuhusu huyu mwamba wa Afrika ni tofauti na ninavyotafsiri mm.
 
Back
Top Bottom