Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I have been telling them this since yesterday ila hawasemi lolote. Juzi pia walishinda wakisema wako na recreational parks ukiwaambia wazitaje kwa majina wanasema hayana majina.
Hahaha recreational parks zitakosaje jina? Ama hizo ni private gardens za watu tu wanazipiga picha na kuzileta huku.
 
Tz inaendelea kuchukua nafasi yake Africa

Screenshot_20211029-133648.png
 
Funga account kama uko na kende 😂 😂 😂 😂 count.., kama express way ulishindwa kufunga ni empty kiswahili umebaki nayo sembuse hili., uta change ID tu., idiot 😂 😂 ..,
2979678_images_31.jpeg
Unafikiri hajahesabu? Ashahesabu na kudhibitisha that building is 31 floors. Sema tu ni mpumbavu na mbishi. Haamini macho yake kabisa
 
Si unajua hiyo Team ina Raia wao sijui, ni lazima wapate fans kutoka Kenya, Angalia Mchezaji mbongo alipokua Aston Villa Mkuu Samatta
Yale yale , hawa wanapenda sifa kuliko chochote. Angalia Thread zao.
Tuonyeshe sehemu aston villa waliiweka dar kuwa sehemu mhimu wakati alipokua samatta
 
Hebu hesabu hizi floors ni ngapi including hiyo revolving restaurant in that dome-like structure ya juu kabisa. Ni hesabu hamujui ama ni ubishi tu ndio mnapenda
View attachment 1990253
Wakenya mmefurahi sana kwa kufa kwa magufuli maana msingeweza kupumua humu sasa hivi tz hatuna ujanja zaidi ya kumalizia kwa kasi ya kinyonga miradi aliyo acha magufuli ndiyo itakayo tubeba kidogo ,mpaka 2025 ndiyo tutakuwa na raisi wa kumchagua
 
Rais ndiye anayejenga maghorofa? What an excuse!
 
Wakenya mmefurahi sana kwa kufa kwa magufuli maana msingeweza kupumua humu sasa hivi tz hatuna ujanja zaidi ya kumalizia kwa kasi ya kinyonga miradi aliyo acha magufuli ndiyo itakayo tubeba kidogo ,mpaka 2025 ndiyo tutakuwa na raisi wa kumchagua
😂 😂 😂 😂miradi yenu ilianza kujikokota mkulu alivyo kuwa hai., pesa zilimuishia na alikua amewadanganya na "kwa pesa za ndani" narrative, ilibidi a gag your media and independent research bodies ili ku control information asije aka aibika., pia uchumi wenu ni hafifu sana, meagre revenue na mahitaji ni mengi mno, hakuna yule anaye zuia miradi kuendelea, ma flyovers u/c yamesimama, hakuna wafanyi kazi., jiulize ni kwa nini? fedha zimeisha, usimsingizie mama wewe., Uhuru Kenyatta as far as I don't like him he has a team of technocrats, with professionals in relevant disciplines called; "presidential delivery unit"., who ensures delivery of president Kenyatta's promised projects, and development in line with vision 2030.., nyie walikua mashabiki tu..,
 
Yani mm humu niwaambie tu ukweli, nikiona mtu anampinga Magu kwakweli ananikwaza sn, bora mtu aseme tu kwamba Magu ana mapungufu yake lkn usianze kusema kwamba Magu hafai, yn hapo unanunua ugomvi na mm piga ua.
Nani huyo anamfananisha magu na mambo ya kishenziii au ni huyo Geza Ulole
Wakati baada ya kufariki magu hata hamu ya huu uzi imepungua ila tunategemea miradi ileile ya magu kukamilika ili tufarijike kidogo
 
Back
Top Bottom