Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhuru Gardens, one of the many recreational facilities in Nairobi.
images (61).jpeg
images (62).jpeg
images (64).jpeg
images (71).jpeg
images (70).jpeg
images (69).jpeg
unnamed.jpg
images (65).jpeg
images (68).jpeg
images (63).jpeg

Dar bado sana
 
hao watu wanalala lala kizembe hawana shughuli za kufanya
Watu hulala kizembe hata New York, the capital of the world. Ukistaajabu ya Nairobi, ona ya New York below. This is Central Park in NY
images(9).jpg
images(10).jpg
images(12).jpg
images(11).jpg

Stop looking for flimsy excuses na vijisababu just because Dar is slum lacks such facilities. You can't have it all in this life
 
[emoji849][emoji849]luku ndiyo ile kitu bei kali ??? Sasa kama ni hivyo ujue mtz awezagi kukwepa vinyesi vya kenya FLYTOILETS hiyo luku si itaharibika kwa kukanyaga kinyesi mimi nashauri angevaa buti za mvua tu
We hujui kupiga luku mzee kubali tu yaishe
 
Watu hulala kizembe hata New York, the capital of the world. Ukistaajabu ya Nairobi, ona ya New York below. This is Central Park in NY
View attachment 1988301View attachment 1988302View attachment 1988303View attachment 1988304
Stop looking for flimsy excuses na vijisababu just because Dar is slum lacks such facilities. You can't have it all in this life
huoni tofauti hapo,

lala ya chokoraa yakikenya ni jobless & hopeless lala ya hao wadau wa upande wa pili ni wamelala in attension smartness wapo so active
 
Hawa wanafunzi wa huko kunyaland

Hao ndio wakunya wa kesho

Wanaweza choma bweni kwa sababu za kipumbavu

Hii ndio maana halisi ya akili za wakunya

No wonder wanagongwa kila siku kwenye mikataba huko kwao sababu Wana depression since their childhood.

So sad kwa kweli serikali ya kimasikini italazimika kujenga tena hayo mabweni[emoji1787]View attachment 1988114
Kwani ukiwa shule Kwenda kuangalia mpira si unatoroka au Siku hizi wanaomba ruhusa?
Hahahaaa unashindwa kutoroka unachoma bweni aseee BURE kabisa hao
 
There is a time in Nairobi watu walisema hii pyramid iliyozinduliwa na Pope John Paul II wakati ali zuru Kenya eti ni wa kishetani.., conspiracy theorists! Mungiki almost removed it and some religious fanatics from some extreme cults.., eti ya freemason sijui illuminati, yada yada lol!., 😂 😂 ., won't forget., they said if u remove the plates on the small triangles on the sides kuna label ya jicho kama dollar ya marekani.,
2977689_images_56.jpeg

1635334750807.jpeg

1280px-united_states_one_dollar_bill_reverse1-800x500_c.jpg
 
huoni tofauti hapo,

lala ya chokoraa yakikenya ni jobless & hopeless lala ya hao wadau wa upande wa pili ni wamelala in attension smartness wapo so active
Tuonyeshe yenu ambapo watu wamelala ''attension'' smartness tuone
 
Kule ni balaa., mizembe vimezubaa kishenzi.., tabia za kipwani si unazijua.., ya Kenya iko far better., watu wanachangamka..,
 
There is a time in Nairobi watu walisema hii pyramid iliyozinduliwa na Pope John Paul II wakati ali zuru Kenya eti ni wa kishetani.., conspiracy theorists! Mungiki almost removed it and some religious fanatics from some extreme cults.., eti ya freemason sijui illuminati, yada yada lol!., 😂 😂 ., won't forget., they said if u remove the plates on the small triangles on the sides kuna label ya jicho kama dollar ya marekani.,
2977689_images_56.jpeg

View attachment 1988333
1280px-united_states_one_dollar_bill_reverse1-800x500_c.jpg
Hii dunia ukianza kusikia maneno ya watu na kuyaamini unawezapotoshwa sana. Conspiracy theorists at their best. The world is so full of conservatives I tell you
 
Kule ni balaa., mizembe vimezubaa kishenzi.., tabia za kipwani si unazijua.., ya Kenya iko far better., watu wanachangamka..,
The whole of Dar is slum has no recreational park. Not even a single one. Hiyo ndio kitu kinauma huyo bongolala. Hata golf course wako na moja tu
 
Picha za hoteli!?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤔 🤔
Hebu tuambie majina za hizo ''parks'' jinsi nilivyokuwa nikitanguliza jina ya park kabla ya picha[/ISPOILER]
 
Watu hulala kizembe hata New York, the capital of the world. Ukistaajabu ya Nairobi, ona ya New York below. This is Central Park in NY
View attachment 1988301View attachment 1988302View attachment 1988303View attachment 1988304
Stop looking for flimsy excuses na vijisababu just because Dar is slum lacks such facilities. You can't have it all in this life

Pale uhuru park kuna vibao vimeandikwa ‘Don’t just seat here ‘
Hapo tofauti ni kuwa hao wa Nairobi ni Broke, juakali, Jobless
Na hao wa NY ni Watalii na watu wanaofanya outing out of their planned personal timeoffs
 
Tuonyeshe zenu ambazo watalii na watu wanaofanya outing huenda. Mbona kelele?
 
Back
Top Bottom