Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Despite the opinion, Kenya has a big economy where mtu wa bidii na kujituma ana make it without looking at wahindi, waarabu ama wazungu., like this inspiring journey of a Kenyan woman in Kenya., in Tz balaa, ni empty Kiswahili tu., ..,
Big Economy while you can't feed your people, spear my ribs please[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG_2180.jpg
 
but hakuna siku nilishawai sikia tz to be EA powerhouse, infact nyerere mwenyewe alitaja kenya kama uzunguni, na nairobi, half london
Ulishawahi sikia Tanzania Kuna mtu amekufa kwa njaa, au anaishi kwenye slums, au anabaguliwa kwa sababu ya kabila lake?, What is superpower if you die of hunger and suffer from cholera outbreaks yearly because of poverty?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuwache maswali ambayo hayana tija. Wewe unaijua historia ya uongozi wa Egypt kweli? Mimi ninaifahamu vizuri tangu enzi za Egypt walipokuwa wanaongozwa na king halafu huyo king akapinduliwa na wanajeshi akina Abdel Nasser in the 1950s. Kuanzia hapo Egypt imekuwa ikiongozwa na Wanajeshi bila uchaguzi wa urais kuwahi kufanyika. 2011 baada ya Arab spring revolution Hosni Mubarak ambaye pia alikuwa mwanajeshi na alikuwa amekwama kwenye madaraka kwa miaka 30 alitolewa kwa nguvu na 2012 uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia wa urais ulifanyika. Morsi ndiye alichaguliwa na kuwa rais wa kwanza kuwahi kuchaguliwa na wananchi wa Egypt. Kwa bahati mbaya rais huyu hakumaliza hata miaka miwili madarakani kabla ya serikali yake kupinduliwa na jeshi tena na mwanajeshi mwingine Al Sisi kushika hatamu. Huyu Morsi alifungwa jela na akafariki akiwa gerezani. Viongozi wote wa serikali ya Morsi walifungwa gerezani na wengine wamekufa gerezani. Egypt ni one of the most pathetic, disgusting, shit-hole countries likija kwenye suala la demokrasia. Chamoto ninajua ninachozungumzia.
Sasa hapo kwenye deomokrasia tofauti ya Misri na Kenya ni ipi? Tangu 60's ni makabila mawili tuu ndiyo yaliyoongoza nchi yenu.
 
Sasa hapo kwenye deomokrasia tofauti ya Misri na Kenya ni ipi? Tangu 60's ni makabila mawili tuu ndiyo yaliyoongoza nchi yenu.
due to them having majority votes i beleive in democracy majority wins now what you were supposed to talk about is guys being open minded to vote based on policies and not mtu wetu idiology....
 
But Egypt is has top 3 biggest Economy in Africa, kwahiyo kumbe uchumi peke yake hauna maana au unajaribu kufanya "Maneuvers' ili kuhakikisha unashinda mjadala?
Ni kweli uchumi pekee sio mambo yote. Kwenye uchumi wako sawa ila kwenye demokrasia wao ni zero kabisa. Wamefanya uchaguzi moja tu wa kumchagua rais katika historia nzima ya Egypt. Uchaguzi mmoja tu. Raia wa Egypt wameenda debeni mara moja tu mwaka wa 2012 kumchagua rais wao. Na rais huyo kafungwa gerezani miaka miwili baadaye. Egypt ni shit-hole kwenye demokrasia nakuambia hata afadhali Somalia.
 
Sasa hapo kwenye deomokrasia tofauti ya Misri na Kenya ni ipi? Tangu 60's ni makabila mawili tuu ndiyo yaliyoongoza nchi yenu.
Wewe huelewi maana ya neno demokrasia unataka ufundishwe kama mtoto mdogo. Demokrasia ni pale ambapo wananchi wenyewe wanapatiwa fursa ya kumchagua kiongozi wanaomtaka. Hata kama viongozi wote wanatokea kabila moja hakuna shida. Tofauti ya Egypt na Kenya ni kwamba Kenya raia wanapatiwa fursa ya kumchagua rais wao ilhali huko Egypt raia hawapati fursa ya kumchagua rais wao, wanatawaliwa kimabavu. Marekani bado haijapata rais mwanamke ila sijasikia ukipinga kwamba Marekani ina demokrasia ya kweli. Huko Marekani kwa miaka zaidi ya mia mbili rais alikuwa ni mzungu tu tena wa kiume na ilichukua muda mrefu sana kabla ya rais mweusi kuchaguliwa. Isitoshe ilichukuwa Mkenya kuenda Marekani na kufanya ngono na mzungu ili Marekani iweze kupata rais wake wa kwanza mweusi baada ya miaka zaidi ya 200.
 
Ni kweli uchumi pekee sio mambo yote. Kwenye uchumi wako sawa ila kwenye demokrasia wao ni zero kabisa. Wamefanya uchaguzi moja tu wa kumchagua rais katika historia nzima ya Egypt. Uchaguzi mmoja tu. Raia wa Egypt wameenda debeni mara moja tu mwaka wa 2012 kumchagua rais wao. Na rais huyo kafungwa gerezani miaka miwili baadaye. Egypt ni shit-hole kwenye demokrasia nakuambia hata afadhali Somalia.
Is democracy synonymous to just elections every five years, are Rwanda, Uganda better than Egypt?.

Jaribu kuangalia ranking ya Egypt na Kenya kwenye kipengele cha demokrasia uone ni nchi ipi yenye "higher scores"?
 
due to them having majority votes i beleive in democracy majority wins now what you were supposed to talk about is guys being open minded to vote based on policies and not mtu wetu idiology....
Due you allow voters to vote based on their tribes or religion, if that is the case Baraka Obama wouldn't be voted by the Whites to be their president because Whites make 80% of all voters in USA.

Hii tabia yenu ya kuchagua mtu kutoka kabila lake ndio maana ya "tribalism". Wherever there is tribalism, there is no democracy.
 
Is democracy synonymous to just elections every five years, are Rwanda, Uganda better than Egypt?.

Jaribu kuangalia ranking ya Egypt na Kenya kwenye kipengele cha demokrasia uone ni nchi ipi yenye "higher scores"?
Ndio kipengele muhimu zaidi cha demokrasia ni elections.
Fuata hii link uone Kenya ipo number 82 na Egypt ipo number 151 yaani huko mwisho kabisa wanavuta mkia. Mkuu kubali tu kwamba Egypt hawana demokrasia. Maana hata hii report inaprove my point.

Complete Ranking: Total Value Index 2020 (Context Measurement)​

Dataset of the Democracy Matrix V.4
RankCountryTotal Value IndexClassification
1Denmark0.958Working Democracy
2Norway0.956Working Democracy
3Finland0.946Working Democracy
4Sweden0.946Working Democracy
5Germany0.944Working Democracy
6Switzerland0.934Working Democracy
7Netherlands0.93Working Democracy
8New Zealand0.928Working Democracy
9Belgium0.925Working Democracy
10Costa Rica0.914Working Democracy
11Spain0.912Working Democracy
12Luxembourg0.905Working Democracy
13Australia0.904Working Democracy
14Estonia0.903Working Democracy
15Iceland0.899Working Democracy
16Ireland0.898Working Democracy
17United Kingdom0.892Working Democracy
18Austria0.89Working Democracy
19France0.889Working Democracy
20South Korea0.883Working Democracy
21Lithuania0.879Working Democracy
22Italy0.871Working Democracy
23Portugal0.864Working Democracy
24Canada0.86Working Democracy
25Japan0.857Working Democracy
26Taiwan0.847Working Democracy
27Uruguay0.847Deficient Democracy
28Cyprus0.846Working Democracy
29Chile0.84Working Democracy
30Slovakia0.836Working Democracy
31Greece0.834Working Democracy
32Czech Republic0.834Working Democracy
33Latvia0.83Working Democracy
34Barbados0.83Working Democracy
35Israel0.821Working Democracy
36United States of America0.811Deficient Democracy
37Cape Verde0.792Deficient Democracy
38Jamaica0.787Deficient Democracy
39Trinidad and Tobago0.784Deficient Democracy
40Slovenia0.782Deficient Democracy
41Tunisia0.779Deficient Democracy
42Malta0.774Deficient Democracy
43Vanuatu0.769Deficient Democracy
44Argentina0.763Deficient Democracy
45Croatia0.763Deficient Democracy
46Romania0.731Deficient Democracy
47South Africa0.72Deficient Democracy
48Botswana0.719Deficient Democracy
49Seychelles0.716Deficient Democracy
50Peru0.716Deficient Democracy
51Georgia0.716Deficient Democracy
52Mauritius0.715Deficient Democracy
53Suriname0.714Deficient Democracy
54Poland0.71Deficient Democracy
55São Tomé and Príncipe0.707Deficient Democracy
56Bhutan0.701Deficient Democracy
57Panama0.691Deficient Democracy
58Namibia0.685Deficient Democracy
59Ghana0.682Deficient Democracy
60Bulgaria0.672Deficient Democracy
61Moldova0.665Deficient Democracy
62Mongolia0.656Deficient Democracy
63Lesotho0.644Deficient Democracy
64Burkina Faso0.643Deficient Democracy
65Solomon Islands0.641Deficient Democracy
66Armenia0.639Deficient Democracy
67Maldives0.636Deficient Democracy
68Kosovo0.624Deficient Democracy
69The Gambia0.622Deficient Democracy
70Sierra Leone0.615Deficient Democracy
71Timor-Leste0.612Deficient Democracy
72Guyana0.605Deficient Democracy
73Nepal0.603Deficient Democracy
74Ecuador0.601Deficient Democracy
75Brazil0.599Deficient Democracy
76Malawi0.599Deficient Democracy
77Indonesia0.587Deficient Democracy
78Hungary0.585Deficient Democracy
79Albania0.583Deficient Democracy
80North Macedonia0.582Deficient Democracy
81Liberia0.582Deficient Democracy
82Kenya0.576Hybrid Regime
83Tanzania0.567Hybrid Regime
84Colombia0.566Hybrid Regime
85India0.564Hybrid Regime
86Singapore0.562Hybrid Regime
87Dominican Republic0.562Hybrid Regime
88Paraguay0.558Deficient Democracy
89Montenegro0.554Hybrid Regime
90Mexico0.553Hybrid Regime
91Burma/Myanmar0.542Hybrid Regime
92Ukraine0.54Hybrid Regime
93Sri Lanka0.54Deficient Democracy
94Fiji0.537Hybrid Regime
95Malaysia0.536Hybrid Regime
96Bosnia and Herzegovina0.531Hybrid Regime
97Bolivia0.521Hybrid Regime
98Guatemala0.504Hybrid Regime
99Benin0.503Hybrid Regime
100Nigeria0.503Hybrid Regime
101Kuwait0.496Hybrid Regime
102Guinea-Bissau0.492Hybrid Regime
103Papua New Guinea0.49Hybrid Regime
104El Salvador0.485Hybrid Regime
105Morocco0.474Hybrid Regime
106Lebanon0.474Hybrid Regime
107Hong Kong0.464Hybrid Regime
108Zambia0.456Hybrid Regime
109Jordan0.454Hybrid Regime
110Kyrgyzstan0.448Hybrid Regime
111Mali0.448Hybrid Regime
112Philippines0.443Hybrid Regime
113Gabon0.443Hybrid Regime
114Mozambique0.441Hybrid Regime
115Serbia0.439Moderate Autocracy
116Somaliland0.432Moderate Autocracy
117Côte d'Ivoire0.431Hybrid Regime
118Madagascar0.415Moderate Autocracy
119Uganda0.409Hybrid Regime
120Angola0.387Moderate Autocracy
121Togo0.387Hybrid Regime
122Honduras0.379Moderate Autocracy
123Pakistan0.375Hybrid Regime
124Comoros0.372Hybrid Regime
125Afghanistan0.358Moderate Autocracy
126Mauritania0.357Moderate Autocracy
127Iraq0.354Moderate Autocracy
128Ethiopia0.351Hybrid Regime
129Zanzibar0.349Hybrid Regime
130Central African Republic0.349Moderate Autocracy
131Haiti0.346Moderate Autocracy
132Congo, Democratic Republic0.337Moderate Autocracy
133Zimbabwe0.336Moderate Autocracy
134Algeria0.319Moderate Autocracy
135Thailand0.3Moderate Autocracy
136Djibouti0.291Moderate Autocracy
137Turkey0.29Moderate Autocracy
138Cameroon0.286Moderate Autocracy
139Kazakhstan0.276Moderate Autocracy
140Guinea0.275Moderate Autocracy
141Uzbekistan0.269Moderate Autocracy
142Rwanda0.269Moderate Autocracy
143Congo, Republic0.266Moderate Autocracy
144Russia0.262Moderate Autocracy
145Vietnam, Democratic Republic0.254Moderate Autocracy
146Oman0.251Moderate Autocracy
147Iran0.25Moderate Autocracy
148Eswatini0.239Moderate Autocracy
149Bangladesh0.215Moderate Autocracy
150Chad0.211Moderate Autocracy
151Egypt0.21Moderate Autocracy
152Cambodia0.178Moderate Autocracy
153United Arab Emirates0.166Hard Autocracy
154Cuba0.165Moderate Autocracy
155Belarus0.139Moderate Autocracy
156Nicaragua0.137Moderate Autocracy
157Azerbaijan0.136Hard Autocracy
158Burundi0.125Hard Autocracy
159Venezuela0.118Hard Autocracy
160Equatorial Guinea0.117Hard Autocracy
161Tajikistan0.111Hard Autocracy
162Laos0.101Hard Autocracy
163Libya0.095Hard Autocracy
164Turkmenistan0.09Hard Autocracy
165Somalia0.082Hard Autocracy
166Palestine/West Bank0.082Hard Autocracy
167Sudan0.064Hard Autocracy
168Palestine/Gaza0.055Hard Autocracy
169Qatar0.054Hard Autocracy
170Syria0.053Hard Autocracy
171South Sudan0.053Hard Autocracy
172China0.048Hard Autocracy
173Saudi Arabia0.048Hard Autocracy
174Yemen0.041Hard Autocracy
175North Korea0.029Hard Autocracy
176Eritrea0.017Hard Autocracy
 
Due you allow voters to vote based on their tribes or religion, if that is the case Baraka Obama wouldn't be voted by the Whites to be their president because Whites make 80% of all voters in USA.

Hii tabia yenu ya kuchagua mtu kutoka kabila lake ndio maana ya "tribalism". Wherever there is tribalism, there is no democracy.
Hata Wamerakani wana racism kali sana na ndio maana hawakumchagua rais mweusi kwa miaka zaidi ya mia mbili. Pia wamarekani wana taasubi ya kiume mbaya sana na ndio maana hawajawahi kumchagua rais mwanamke.
 
Wote humu mwisho wa siku tutaongea lugha moja kwamba Magufuli haikuwa uwezo wake bali ni Mungu aliamua kutulinda kupitia yeye.

My Take: TULIWAAMBIA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliwaambia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Geza Ulole Opportunity Cost Tony254
 
Hata Wamerakani wana racism kali sana na ndio maana hawakumchagua rais mweusi kwa miaka zaidi ya mia mbili. Pia wamarekani wana taasubi ya kiume mbaya sana na ndio maana hawajawahi kumchagua rais mwanamke.
Wote ninyi mpo na ukabila/racism, ndio sababu tunawaambia mje kujifunza Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wote ninyi mpo na ukabila/racism, ndio sababu tunawaambia mje kujifunza Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natumai umejionea mwenyewe kwenye hio list kwamba Egypt wapo number 151 huku Kenya ipo number 82 na Tanzania 83. Egypt kwenye demokrasia wao ni shit-hole. Halafu nchi nyingi za kiarabu na middle east ni shit-hole kwenye demokrasia ikiwemo akina UAE na hata Saudi Arabia, Iran na Turkey
 
due to them having majority votes i beleive in democracy majority wins now what you were supposed to talk about is guys being open minded to vote based on policies and not mtu wetu idiology....
George Musengi Saitoti, naye alishindwa kwasababu ya kukosa kura za wengi?
 
Back
Top Bottom