Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wanafunzi wa huko kunyaland

Hao ndio wakunya wa kesho

Wanaweza choma bweni kwa sababu za kipumbavu

Hii ndio maana halisi ya akili za wakunya

No wonder wanagongwa kila siku kwenye mikataba huko kwao sababu Wana depression since their childhood.

So sad kwa kweli serikali ya kimasikini italazimika kujenga tena hayo mabweni
Screenshot_20211027-115651.jpg
 
Haya ma flyover ya Uhasibu na Chang'ombe nahisi ujenzi umesimama, hakuna kinachoendelea, mafundi wapo wachache almost ni kama hamna mafundi, cjui shida iko wapi ujenzi haukamiliki mda mrefu ss.

Sio kweli, napita hapa Uhasibu kila siku pako busy, mafundi wako juu wanamalizia kusuka nondo daraja la kwanza wamwage zege, daraja la pili wameanza kusuka pillars na leo nimekuta gari linamwaga zege, huyu Mkandarasi longolongo toka anaanza na mpaka sasa yuko nje ya muda wala sio issue za legacy kama mnavyotaka kutupeleka…..mnadandiadandia tu visegment ili mchomeke vijineno, tuwe objective.
IMG_8057.jpg

IMG_8060.jpg

IMG_8061.jpg

IMG_8058.jpg

Hizo ni picha za leo asubuhi.
 
usihofu, projection ni by the end of December, Dar-Pugu yote ni kuwa imekamilika 100%
Vp kuhusu brt false2 mama kafanya mambo kuwa slow kwa miezi yote aliyokuwa Raisi ayupo bize kusukuma miradi kwa nguvu zote, sasa hivi inatakiwa tuanze kujenga brt false 3 and 4 ,tena ilitakiwa ijenge barabara ya rami kutoka gongoramboto kufuata reli kuelekea mjini ili kufanikisha ujenzi wa barabara ya airport na brt yake vizuri bila ya usumbufu hapa tungekuwa na magufuli huu mpango ungefanyiwa kazi ,tena tulitamani hii barabara ya airport ijengwe kwa ustadi ipendeze kwa kuwa ni mlango wa nchi
 
Hawa wanafunzi wa huko kunyaland

Hao ndio wakunya wa kesho

Wanaweza choma bweni kwa sababu za kipumbavu

Hii ndio maana halisi ya akili za wakunya

No wonder wanagongwa kila siku kwenye mikataba huko kwao sababu Wana depression since their childhood.

So sad kwa kweli serikali ya kimasikini italazimika kujenga tena hayo mabweniView attachment 1988114
Wali beti hao
 
Haya ma flyover ya Uhasibu na Chang'ombe nahisi ujenzi umesimama, hakuna kinachoendelea, mafundi wapo wachache almost ni kama hamna mafundi, cjui shida iko wapi ujenzi haukamiliki mda mrefu ss.
Tatizo la Tz ...kila tunapo badili kiongozi mkuu huwa na vipaumbele vinabadilika hiyo ndio shida....
 
Back
Top Bottom