Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa linapenda kujifurahisha hili 😂😂
Unalia tunatumia Mombasa kujibu Dar-Kabul-salaam 😂 😂 😂 😂 😂 .,unapata tabu kweli.., vumilia, tafuna limau kama mwanaume.., kaza sura wacha tabia za kike 😂 😂 😂 😂
 
So mzungu kuingia nightclub Dar ni big deal sana kwako ana point yako ni nini haswa? Hii inferiority complex itawaisha lini?
Nilishangaa na mimi, vilaza kwa ubora wao 😂 😂 😂 😂
 
Mbaazi ikikosa matunda husingizia jua. Mtakuja na kila aina ya kisingizio. Eti jiji letu halina majengo? 😂 😂.
Angalia Eastlands below then shut the hell up until that day you bring down those dream houses that dot your cityscape View attachment 1988512View attachment 1988514View attachment 1988515View attachment 1988516
Tz yote hauwezi kupata aerial view showing such dense standard residentials apart from their village type houses.., makazi ya kishamba ndio kwa wingi.,
 
Sasa hapo hizo picha ulizoweka zina tofauti gani na zile za mwezi uliopita? Unabisha kwamba hamna mafundi mbn hujaweka picha wakiwepo, hao mafundi wawili ndio wajenge daraja, alafu be care mm co mpumbavu kama wengi wenu mlivyo, huwa sisifii kizembe na sipondi kizembe so be careful wkt unataka kunipinga.

Sawa boss ngoja tukuache utupige darasa humu sababu unaonekana unajua sana.
 
Pale uhuru park kuna vibao vimeandikwa ‘Don’t just seat here ‘
Hapo tofauti ni kuwa hao wa Nairobi ni Broke, juakali, Jobless
Na hao wa NY ni Watalii na watu wanaofanya outing out of their planned personal timeoffs
kabisaa
 
Wanaulizia kuhusu recreational parks kama zipo ndani ya DAR CBD .. owky, hizi Apo nimekuletea.. Don YF njoo we matako alafu nakwambia hivi, uache kujifanya unaijua DSM wewe
1820340_33062330056_0cd3b95fe6_o.jpg
shida ya hizi mavitu nazo hatuzijui majina 👇
dar-botanical-gardens.jpg
Tanzania-Wastewater-Treatment-1200x800-1024x683.jpg
2978029_Dar_es_Salaam_Botanical_Gardens_Ilala_6.jpg
nyingine 👇
dar-es-salaam--2562166-3.jpg
nyingine👇
Screenshot_20210912-020534_1.jpg
nyingine👇
Bustani ya Mnazimmoja.jpg
wpid-20150210_080823.jpg
2f3702e4-0fa2-4a93-a902-a6da857d712a.jpeg
Dar-es-Salaam-Mnazi-Mmoja-Park.jpg


Dar_es_Salaam_Botanical_Gardens_Ilala_6.jpg


Bustani ya Mnazimmoja.jpg
 
Wanaulizia kuhusu recreational parks kama zipo ndani ya DAR CBD .. owky, hizi Apo nimekuletea.. Don YF njoo we matako alafu nakwambia hivi, uache kujifanya unaijua DSM weweView attachment 1988546shida ya hizi mavitu nazo hatuzijui majina View attachment 1988547View attachment 1988548
2978029_Dar_es_Salaam_Botanical_Gardens_Ilala_6.jpg
nyingine View attachment 1988581nyingineView attachment 1988588nyingineView attachment 1988605View attachment 1988608View attachment 1988611View attachment 1988612

View attachment 1988549

View attachment 1988583
waache waendelee kujidanganya ,wanadhani watz ni watu wa kuzubaazubaa hovyo kwenye garden park
 
Wanaulizia kuhusu recreational parks kama zipo ndani ya DAR CBD .. owky, hizi Apo nimekuletea.. Don YF njoo we matako alafu nakwambia hivi, uache kujifanya unaijua DSM weweView attachment 1988546shida ya hizi mavitu nazo hatuzijui majina 👇View attachment 1988547View attachment 1988548
2978029_Dar_es_Salaam_Botanical_Gardens_Ilala_6.jpg
nyingine 👇View attachment 1988581nyingine👇View attachment 1988588nyingine👇View attachment 1988605View attachment 1988608View attachment 1988611View attachment 1988612

View attachment 1988549

View attachment 1988583
Huwa hatuwajibu kwenye post za kizembe kama hizi cz they know how Dar is more Greener than Nairobi, siku Nairobi itakuwa green km hivi naondoka Jf 👇👇🤣🤣🤣🤣

JamiiForums-1824981405.jpeg
 
Basi tuambie majina za hizo 'parks' ambazo umeleta picha zao
Unataka majina kwani huoni apo, c wote tunakubali kwamba kuona ni kuamini, au unataka tuanze kufuatilia zile picha za lipstick ulizoleta tukuumbue jinsi zilivyo? Km unabisha jikune uone nikuumbue moja baada ya nyingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ninaposema majengo huwa simaanishi dwarfs mm, hizo hata Somalia zipo, so umeamua kujifanya chizi kwamba hujanielewa
Umegonga ndipo sasa. Nataka uniletee majengo yote Dar that are above 20 floors nami pia nifanye the the same kuhusu Nairobi coz yaonekna hujui unachoongea. Hapo sasa ndio tutajua ni jiji lipi liko na majengo as you want to put it
 
Umegonga ndipo sasa. Nataka uniletee majengo yote Dar that are above 20 floors nami pia nifanye the the same kuhusu Nairobi coz yaonekna hujui unachoongea. Hapo sasa ndio tutajua ni jiji lipi liko na majengo as you want to put it
Safi sana umeingia sehemu mbaya sana ngj nije
 
Unataka majina kwani huoni apo, c wote tunakubali kwamba kuona ni kuamini, au unataka tuanze kufuatilia zile picha za lipstick ulizoleta tukuumbue jinsi zilivyo? Km unabisha jikune uone nikuumbue moja baada ya nyingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
So mko na parks yet hazina majina!! And you want me to believe that? Danganya mtoto wa chekechea sio mimi
 
Back
Top Bottom